Mamlaka ya Jiji DSM lifungie Uchinjaji wa Kuku Soko la Shekilango

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Nipo Hapa Rombo Green views....
Kiukweli karibia Shekilangobyote inanuka mizoga ya Kuku, barabara nzima hapa ni harufu iliyo oza ya viumbe hai.

Sijui kwanini Mamlaka ya Jiji (watu wa Mazingira) wamelikalia hili suala kimya.

Kiukweli inakera sana, inasikitisha.

Sio hapa pekee, hata pale soko la manzese ukipit unasikia harufu ya Mizoga tu.

Sijui Jiji limejipangaje kuondokana na kero hii.

Inapaswa sehemu za machinjio kuwa nje ya Jiji au moundombinu ya Uchinjaji iwe ya kisasa kuondoa tatizo hili.

Makonda angedili na masuala kama haya sio kukagua watu wasio oga.
 
Pole sana...

Ni kweli ulikua Rombo Green view au ulikua pale sheli...

Maana ukiwa Rombo Green view husikii harafu yoyote kutoka sokoni, ni mpaka uwe sheli pale...

Cc: mahondaw
 
Pole sana...

Ni kweli ulikua Rombo Green view au ulikua pale sheli...

Maana ukiwa Rombo Green view husikii harafu yoyote kutoka sokoni, ni mpaka uwe sheli pale...

Cc: mahondaw

IMG_0115.JPG
 
Wengine tumebadili njia hiyo hatupiti, tunapita mbali kwa mbali kama kuogopa gari la matuta moro.

Nishidah sana
 
Nipo Hapa Rombo Green views....
Kiukweli karibia Shekilangobyote inanuka mizoga ya Kuku, barabara nzima hapa ni harufu iliyo oza ya viumbe hai.

Sijui kwanini Mamlaka ya Jiji (watu wa Mazingira) wamelikalia hili suala kimya.

Kiukweli inakera sana, inasikitisha.

Sio hapa pekee, hata pale soko la manzese ukipit unasikia harufu ya Mizoga tu.

Sijui Jiji limejipangaje kuondokana na kero hii.
Inapaswa sehemu za machinjio kiwa nje ya Jiji au moundombinu ya Uchinjaji iwe ya kisasa kuondoa tatizo hili.

Makonda angedili na masuala kama haya sio kukagua watu wasio oga.
Brooo nikweli Kabisa mimi Niko hapa hapa pembeni mwako jambo Baar kuna harufu Kali yani ni kila Siku hiii Hali yani huwa inakera Sana lazima mamlaka zinazohusika zishughulikie hiii kero
 
Back
Top Bottom