Mamlaka ya Hali ya hewa yatoa tahadhari ya mvua kubwa

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,667
Mamlaka ya Hali ya hewa yazidi kutoa tahadhari ya mvua kubwa; tarehe 13, 14, na 15. (ni mikoa ya Arusha, Mara, Mwanza na Kagera)

.. GHARIKA YAJA: Mvua kali kuathiri Arusha, Kili, Kagera, Mara, Kigoma, Tabora kati ya leo na J-pili, TMAA waonya jioni hii. Wasema yawezaleta uharibifu makubwa.
 
Labda wanamaanisha jua kali..Tangu lini wameanza kuaminika hao TMA??
 
hizo mvua zinahanikizwa na nini, ni mabadiliko ya tabia nchi au kimbunga, isijekuwa ni mgandamizo wa hewa. tupeni maelezo zaidi.
 
mamlaka ya hali ya hewa yazidi kutoa tahadhari ya mvua kubwa; tarehe 13, 14, na 15. (ni mikoa ya arusha, mara, mwanza na kagera)

.. Gharika yaja: Mvua kali kuathiri arusha, kili, kagera, mara, kigoma, tabora kati ya leo na j-pili, tmaa waonya jioni hii. Wasema yawezaleta uharibifu makubwa.

source plz
 
Mamlaka ya Hali ya hewa yazidi kutoa tahadhari ya mvua kubwa; tarehe 13, 14, na 15. (ni mikoa ya Arusha, Mara, Mwanza na Kagera)

.. GHARIKA YAJA: Mvua kali kuathiri Arusha, Kili, Kagera, Mara, Kigoma, Tabora kati ya leo na J-pili, TMAA waonya jioni hii. Wasema yawezaleta uharibifu makubwa.

Mabadiliko ya hali ya hewa duniani bado vimbunga tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom