captain dunga
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 282
- 626
Bado tuko awamu ya tano kaka ila rais ndio wa sita
katiba inatambua ni awamu ya sita kwasababu Mama amechukua nchi ndani ya miaka miwili ya mwanzo ya kipindi cha miaka mitano..
'kwa mujibu wa mzee warioba'