Mamlaka ya hali ya hewa, mwaka huu hii sio El Nino kweli?

Mkuu unatokea chunya eeh
Mkuu kwanza tujue maana ya El nino na mwenzake La Nina.

El Ninyo
Hii ni mkondo bahari wa joto kwenye bahari ya pacific. Moja ya matokeo yake huwa ni hizo mvua tena upande wa kusini mwa Equator.... So El nino hufahamika kimataifa siyo suala la nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom