MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imewataka wananchi kujenga utaratibu wa kusoma maelezo ya bidhaa za vyakula zinazouzwa madukani

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,868
6,480
Maswali yangu kwa TFDA:-

Dana wimbi la matapeli wanaotusumbua mitaani kwa kujiita wafanyakazi wa TFDA, tukiwaona tuchukue hatua gani..

faini anayotoa mtu anayekutwa na (dawa/vyakula) vilivyo- expire ni shilingi ngapi. na inatolewa kwa utaratibu upi?!!

No. ya TFDA kwa ajiri ya sisi raia kutoa taarifa dhidi ya matapeli ni ipi..

je, mtu alie na mtaji mdogo( eg elfu 20, akikutwa na kosa, faini yake ni sawa na mwenye mtaji mkubwa wa zaidi ya mamilioni)

je, nikilipia pesa ya kitambulisho cha biashara(machinga) pia kuna haja ya kulipa pesa ya leseni ya biashara?!!!

Karibuni kwa ushauri wana jukwaa
 
Back
Top Bottom