Mamlaka ya anga Tanzania mko wapi?

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Jana usiku mida ya saa tatu kulikuwa na tukio la kupatwa kwa mwezi.Hili ni tukio la kawaida lakn linahitaji kubainishwa kwa watu ili wale wasiofaham kuwepo kwa tukio hlo waelewe. Kwa mtu ambaye hajawahi kushuhudia anaweza kuhofia pengine kulihusisha tukio hili na imani za dini au kishirikina.

Mamlaka ya anga mlikuwa wapi kuwajuza wananchi? au na nyie hamkujua?
 
Jiulize wewe kwanza ulikua wapi ilipotoka habar hyo?tusiwe waandikaji thread to ni vyema na mambo mengine tuyafuatilie.habar imetolewa tbc na tumeambia kua eclipse itatokea saa 3:23 hadi 6 ndo ndo itaanza kuondoka.

TUSIHADAIKE NA KUSIKILIZA MZIKI NI VYEMA TUWE NA UTAMADUNI WA KUANGALIA TAARIFA YA HABAR OK!
 
Mi mwenyewe nilijua tukio hilo litatokea baada ya kuangalia taharifa ya habari TBC, na muda ulipofika nikatoka nje kuangalia...ni kweli sio vizuri kuandika vitu ambavyo huna uhakika navyo.
 
jiulize wewe kwanza ulikua wapi ilipotoka habar hyo?tusiwe waandikaji thread to ni vyema na mambo mengine tuyafuatilie.habar imetolewa tbc na tumeambia kua eclipse itatokea saa 3:23 hadi 6 ndo ndo itaanza kuondoka.tusihadaike na kusikiliza mziki ni vyema tuwe na utamaduni wa kuangalia taarifa ya habar ok!

pamoja mkuu
 
Jana usiku mida ya saa tatu kulikuwa na tukio la kupatwa kwa mwezi.Hili ni tukio la kawaida lakn linahitaji kubainishwa kwa watu ili wale wasiofaham kuwepo kwa tukio hlo waelewe.Kwa mtu ambaye hajawahi kushuhudia anaweza kuhofia pengine kulihusisha tukio hili na imani za dini au kishirikina.Mamlaka ya anga mlikuwa wapi kuwajuza wananchi? au na nyie hamkujua?

Jana hawakuwa na umeme....
 
Kumbe imetangazwa tbc!,samahani wakuu mi huwa siangalii hyo basi siku nyingine watutangazie kwenye tv huru na mapema zaidi,nchi nyingine huwa wanatangaza kabla imagine taarifa inatangazwa mara moja na ni habari ya saa 2 na tukio lina tokea saa 3.23
 
Back
Top Bottom