Mamlaka nchini Italy yaitoza Kampuni ya Apple faini ya Euro Milioni 10 (takriban Tsh. Bilioni 27.8) kwa upotoshaji

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
ITALIA: KAMPUNI YA APPLE YATOZWA FAINI YA TSH. BILIONI 27 KWA UPOTOSHAJI

Mamlaka nchini Italia imesema imeitoza Kampuni ya Apple faini ya Euro Milioni 10 (zaidi ya Tsh. Bilioni 27.8) kutokana na upotoshaji katika matangazo yake ya simu za iPhone

Katika taarifa yake, imesema Kampuni hiyo imetangaza simu zao mbalimbali zina kinga dhidi ya maji (Water-Resistant) bila kuelekezea kuwa zina uwezo huo katika baadhi ya mazingira pekee

Pia imesema tahadhari (Disclaimer) ya Apple iliyosema Kampuni haibebi gharama za uharibifu ambao utatokana na vimiminika iliwachanganya wateja ambao pia hawakusaidiwa simu zao zilipopata adha hiyo

=====

Italy’s antitrust authority said on Monday it had fined Apple 10 million euros ($12 million) for “aggressive and misleading” commercial practices regarding its iPhones.

The regulator said in a statement the company advertised that several iPhone models were water-resistant without clarifying they were only so under certain circumstances.

It added that the company’s disclaimer, saying that its phones were not covered by warranty in case of damage from liquids, tricked clients, who were also not provided support when their phones were damaged by water or other liquids.

Apple declined to comment.
 
Back
Top Bottom