MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,256
- 2,975
Itakuwa alikuwa likizo, tofauti na hivyo si rahisi taarifa kutokuwa wazi......Mmmh! Askari Tena afisa mwenye nyota Mbili anapotea mpaka ndugu wanagundua ZAIDI ya wiki 3 wenzie hawajui?!!!! Basi uchunguzi uanzie hapo kwenye kituo chake Cha kazi kituo Cha kati dodoma.