mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,813
- 105,991
DuhNi mwezi wa 8 sasa hawajui halipo na polisi hawajui alipo nchi ngumu sana hii.hata hili polisi wanajichunguza wenyewe!
Ova
DuhNi mwezi wa 8 sasa hawajui halipo na polisi hawajui alipo nchi ngumu sana hii.hata hili polisi wanajichunguza wenyewe!
Hii hatariNi mwezi wa 8 sasa hawajui halipo na polisi hawajui alipo nchi ngumu sana hii.hata hili polisi wanajichunguza wenyewe!
Mmmmh hatariJana niliona taarifa ya kifo Cha rco Dom tuliosoma Cuba tumeanza kunusa harufu Fulani hivi ebu ngoja tuone mwisho wake Kuna watu wanaenda kusali milimani
Unataka upotelee kuele Tabata kwa Ashura kama yule diwani auKama mpka polisi wanapotea mimi ni nani nisipotee
Diwani alitupiga parefuUnataka upotelee kuele Tabata kwa Ashura kama yule diwani au
Diwani alishikwa pabayaDiwani alitupiga parefu
Hivi angekuwa ndugu yake angeropoka hivyoUmenifanya nicheke..kwamba inapendeza hata kuona polis wanapotea??
Mpaka Leo na polisi wenzake hawajuiHajafahamika tu alipoenda?
Ni swali hata Mimi najiuliza mpaka leoAskari amepotea?
Amepotelea wapi?
ITV yu wapi hatujasikia
Au amepotezwa na wasiojulikana
Kwanini tukio hilo lipo kimya
Labda kule alikokuwa filipe izidor kazi maalumu?Mpaka Leo na polisi wenzake hawajui