Mamlaka na Madaraka ni vya muda tu. Tenda Haki.

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Usionee, usinyanyase, usibague, usikandamize, usidhurumu, usisumbue, usihangaishe, usidharau, usipuuze, usisononeshe, mtu kwa sababu ya cheo na madaraka, uliyopewa.

Hivyo ni vya muda, vinapita, ila ubinadamu na utu vinadumu kizazi hata kizazi.

Tenda Haki.
 
Usionee, usinyanyase, usibague, usikandamize, usidhurumu, usisumbue, usihangaishe, usidharau, usipuuze, usisononeshe, mtu kwa sababu ya cheo na madaraka.

Hivyo ni vya muda, vinapita, ila ubinadamu na utu vinadumu kizazi hata kizazi.

Tenda Haki.
Elekeza ushauri huo kwa mtu ama kiongozi unayemuona anakengeuka.
Sasa ukirusha jiwe gizani namna hii, litakakotua ama litakaye mpata, wewe hautaelewa na hautaiona faida ya kuvurumusha jiwe lako hilo.
 
Usionee, usinyanyase, usibague, usikandamize, usidhurumu, usisumbue, usihangaishe, usidharau, usipuuze, usisononeshe, mtu kwa sababu ya cheo na madaraka.

Hivyo ni vya muda, vinapita, ila ubinadamu na utu vinadumu kizazi hata kizazi.

Tenda Haki.
hili nalo ni neon,ahsante
 
The Naked truth

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
 
Back
Top Bottom