Mamlaka Inayohusika weka utaratibu mzuri wa uelimishaji wa Masuala Ya chaguzi Serikali za mitaa

Sikutambua

Member
Nov 16, 2014
46
70
Serikali Baada Ya Kutangaza Kuwa Kuanzia Tar 23 Wananchi Wanatakiwa Kujiandikisha Kwa Ajili Ya Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Zoezi Litakalodumu Kwa Muda Wa Siku Saba Bado Kuna Watu Hawajui Nini Cha Kufanya. Katika Pitapita Zangu Nimeshangazwa Na Baadhi Ya Wananchi Waliokuwa Wakidai Wao Wana Vitamburisho Vya Mpiga Kura Hivyo Hakuna Haja Ya Kujiandikisha Tena, Baada Ya Kusikia Hivyo Nikaamua Kuanza Kutoa Elimu Juu Ya Suala Hili.Nina Uhakika Kuwa Kuna Watanzania Wengine Hawajui Vizuri Juu Ya Suala Hili. Binafsi Nashauri Mamlaka Inayohusika Kuweka Utaratibu Mzuri Juu Ya Uelimishaji Wa Masuala Ya Uchaguzi Kabla Ya Kufikia Uchaguzi Mkuu Hapo Mwakani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom