Mamlaka husika fuatilieni matumizi mabaya ya ofisi na wizi Tanga dhidi ya TSC

Tumbu

Member
May 27, 2021
60
125
Nimatumaini yangu kwamba wanajukwaa mnaendelea vizuri.
Wiki iliyopita iliripotiwa jukwaani kwamba makatibu wa TSC Tanga na Mkinga wamekua wakifanya udanganyifu kwa kila mmoja kumsainia mwenzie kwenye halmashauri yake ili watoe hela.
Jambo la ajabu zaidi nikwamba wamekuja maafisa kutoka TSC makao makuu. Maofisa hao watatu wamewahoji watumishi hapo Tanga lakini hawagusi kiini cha tatizo jambo ambalo linaonesha kulindana na harufu ya rushwa.
Kilichoripotiwa mtandaoni ni matumizi mabaya ya ofisi kwamaana ya udanganyifu au wizi wa mali ya umma. Maafisa wa TSC kutoka Dodoma wanawauliza watumishi kwamba
1: Ninani aliyetoa taarifa hizo mtandaoni. Kwani kutoa taarifa ni tatizo? Hapo tatizo ni ujanjaujanja kwenye mali ya umma. TSC makao makuu acheni kutoka nje ya reli
2: Je ofisi inamgogoro gani hadi taarifa ziripotiwe mtandaoni?Hapo mgogoro upo wapi? Kwani kuusema ukweli ndio inamaanisha mgogoro?
Mamlaka husika eleweni kwamba tatizo hapo sio kutoa taarifa hiyo,maafisa hao walitakiwa kujua kwamba kilichosemwa kina ukweli gani? Mpango huo wa kumlinda katibu huyo wa TSC Tanga hauna afya katika kada ya ualimu. Hao maafisa watatu kutoka makao makuu hawajaitisha nyaraka kujua ukweli bali wanauliza nani ametoa taarifa hizo.Watumishi hao ndani ya ofisi wamesema hamna mgogoro wowote ofisini jambo ambalo wamelikubali kwa woga na unafiki. Wamekua wanafiki kwani kama hakuna shida ofisini mbona hawashirikishwi katika maamuzi ikiwemo kutoa hela na matumizi ya hela hizo.
TSC makao makuu badilikeni acheni kulinda wizi huo uliofanyika muda mrefu na matumizi mabaya ya ofisi kwa watu wenu mlio waweka. Mkiendelea kuwalinda mtakua sehemu ya uozo huo

Katibu mkuu mpya wa TSC angalia sana watendaji wako hao watakuharibia na wanafanya kazi kwa mazoea na undugu
 
Tumbu

Member
May 27, 2021
60
125
Mkuu ungesubiri kwanza matokeo ya huo uchunguzi ndiyo useme kitu.
Ngoja tusubiri. Ila uchunguzi wao wameuendesha kwa kuwabana watumishi kwamba kwanini wametoa taarifa ndio mashaka yaliyopo. Wanamtetea huyo mtendaji wao ili asionekane mwizi. Nimafundi hao na wameleta mababu walikua wanazunguka ofisi ya TSC juzi. Serikali hairogwi
 
mkupuo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,413
2,000

Mimi nina imani kuwa kupitia hao watu(wachunguzi) ukweli utajulikana na hatua stahiki zitachukuliwa.Haiwezekani Tume ya TSC Makao makuu watume watu hao watatu kwa gharama kubwa halafu wafanye kazi ya kitoto.Ndiyo maana nikashauri kuwepo subra ili tuone matakeo yake kwanza.
 
Shida nikwamba maofisa hao wanalazimisha kujua ninani aliyetoa siri ya ofisi badala ya kuitisha nyaraka zilizotumika kutoa fedha hizo. Watumishi wa TSC wameshawishiwa na huyo mama na kusema kwamba wao ofisi yao haina tatizo. Nje ya kikao wanalalamika kwamba mama anawapelekesha kwa muda mrefu na wanalazimika kumsafisha ili maisha yaende. Ila ngoja nishawishike kua na imani kama ulivyoshauri mkuu wangu
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,923
2,000
Nimatumaini yangu kwamba wanajukwaa mnaendelea vizuri.
Wiki iliyopita iliripotiwa jukwaani kwamba makatibu wa TSC Tanga na Mkinga wamekua wakifanya udanganyifu kwa kila mmoja kumsainia mwenzie kwenye halmashauri yake ili watoe hela.
Jambo la ajabu zaidi nikwamba wamekuja maafisa kutoka TSC makao makuu. Maofisa hao watatu wamewahoji watumishi hapo Tanga lakini hawagusi kiini cha tatizo jambo ambalo linaonesha kulindana na harufu ya rushwa.
Kilichoripotiwa mtandaoni ni matumizi mabaya ya ofisi kwamaana ya udanganyifu au wizi wa mali ya umma. Maafisa wa TSC kutoka Dodoma wanawauliza watumishi kwamba
1: Ninani aliyetoa taarifa hizo mtandaoni. Kwani kutoa taarifa ni tatizo? Hapo tatizo ni ujanjaujanja kwenye mali ya umma. TSC makao makuu acheni kutoka nje ya reli
2: Je ofisi inamgogoro gani hadi taarifa ziripotiwe mtandaoni?Hapo mgogoro upo wapi? Kwani kuusema ukweli ndio inamaanisha mgogoro?
Mamlaka husika eleweni kwamba tatizo hapo sio kutoa taarifa hiyo,maafisa hao walitakiwa kujua kwamba kilichosemwa kina ukweli gani? Mpango huo wa kumlinda katibu huyo wa TSC Tanga hauna afya katika kada ya ualimu. Hao maafisa watatu kutoka makao makuu hawajaitisha nyaraka kujua ukweli bali wanauliza nani ametoa taarifa hizo.Watumishi hao ndani ya ofisi wamesema hamna mgogoro wowote ofisini jambo ambalo wamelikubali kwa woga na unafiki. Wamekua wanafiki kwani kama hakuna shida ofisini mbona hawashirikishwi katika maamuzi ikiwemo kutoa hela na matumizi ya hela hizo.
TSC makao makuu badilikeni acheni kulinda wizi huo uliofanyika muda mrefu na matumizi mabaya ya ofisi kwa watu wenu mlio waweka. Mkiendelea kuwalinda mtakua sehemu ya uozo huo

Katibu mkuu mpya wa TSC angalia sana watendaji wako hao watakuharibia na wanafanya kazi kwa mazoea na undugu
Watumishi wanaoajiriwa na TSC wanatakiwa wawe wamesomea kozi gani? Na je wanatakiwa wawe na elimu gani? Na wanasoma chuo gani hapa nchini? Kuna uwezekano mkubwa TSC ikawa chanzo cha upungufu wa walimu kwa kuchukua walimu wanaotakiwa kuwa darasani kufundisha na kuwaweka TSC bila tamisemi na wizara ya elimu kuwa na habari. Mh. Ummy mwalimu kaxi kwako fuatilia hili.
 
Sampdoria

Senior Member
Aug 4, 2019
162
500
Shida kubwa sana ya walimu wengi ila sio wote

Asa washule ya msingi .....wivu ...uongo...umbeya...chuki....niwatu wakulalamika sana

Walimu hampendani.......walimu wakuu wa msingi na wakuu wa shule za secondary wanapitia magumu sana kutoka kwa wenzao wanaowaongoza
 
Hao wakuu walio wengi wamepewa kwasababu binafsi za wakurugenzi na maafisa elimu.
Nakwambia hawana sifa. Tenakigezo kikubwa ni majungu na ukada
 
Tumbu

Member
May 27, 2021
60
125
Watumishi wanaoajiriwa na TSC wanatakiwa wawe wamesomea kozi gani? Na je wanatakiwa wawe na elimu gani? Na wanasoma chuo gani hapa nchini? Kuna uwezekano mkubwa TSC ikawa chanzo cha upungufu wa walimu kwa kuchukua walimu wanaotakiwa kuwa darasani kufundisha na kuwaweka TSC bila tamisemi na wizara ya elimu kuwa na habari. Mh. Ummy mwalimu kaxi kwako fuatilia hili.
Niwalimu kama kuna vigezo vingine sawa lakini kujuana nijambo muhimu
Maslahi yanakua kigezo ndio maana wezi hawaguswi maana wanaona watu wao wakisemwa eti TSC imeaibishwa. Aliyewaroga walimu huyo nikiboko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom