Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

Fuso gari nzuri sana ukiielewa ila usiendeshe fuso kama unaendesha kama unaendesha RAV4
 
HOWO hamna gari pale,

Kiukweli pale Mchina alitupiga,
Kwa mazingira yetu ya ulimwengu wa 3, HOWO hazifai KABISA.
Nakemea pepo howo, faw, shackman ni gari dingi Tena nasisitiza ni gari papaa ila sio kosa lako koz huna experience. What drivers complain about those Chinese machines is lack of comfort inside the cabin mbali na hapo howo especially 371+reduction ni gari ambayo Kwa manjia ya Kongo ni mahala pake sahihi kuliko DAF, scania, Iveco, benz, Man , Renault na Volvo ukitaka kujua uliza
 
Back
Top Bottom