Mamlaka husika amkeni kuhusu hili suala la mafuta

keshaulo

Member
Jan 7, 2020
86
69
Habari wana Jamii,

Kuna kitu kinaendelea huku mtaani hasa kwa wafanyabiashara ya Mafuta. Last week maeneo fulani kuna baadhi ya PUMP zilikua hazina mafuta kabisa, jana nimetoka Mbeya nimekutana na hiyo kadhia Mafinga tena.

Je, ni kweli mafuta yamekua ni tatizo? Maana EWURA walikuja mbele kutauaminisha mafuta ni mengi na hakuna tatizo.

Angalizo: Isije kuwa kama sukari. Sasa sijui wanangoja bei mpya ambayo ni zaidi ya ilyopo? chukueni hatua. Hawa watu ni wajanja sana.
 
keshaulo
kumbe umeelewa? kama huna cha kuchangia kaa kimya sio mradi umeeandika tu, hata mbuzi ana ndevu.
Mafuta ni bidhaa kama bidhaa zingine inaweza kumuishia muuzaji kwani tatizo iko api?.
Kila kitu hakiendi vizuri wakati huu na mambo yamefichwa sana kama takwimu za corona zilivyofichwa. Wananchi fanyeni kweli kwenye uchaguzi mwaka huu kwa kuwaondoa watawala waliokaa muda wa miaka 60 sasa katika nchii hii.
 
Back
Top Bottom