Mamlaka haya Rais anayapata wapi ya kuamuru kesi ambazo zimefikia finality zirudi mahakamani

Tumekwisha. Mbona anatawala hii nchi kifalme?
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
 
Kama ni hivyo basi, ili kubalance mambo, kesi zote zilizokwishaamriwa NCHI NZIMA zirudi mahakanani zisikilizwe upya. Hii itasaidia kuondoa dhana ya upendeleo na ukanda anaoujenga Magufuli kila kukicha.
Kwa hili la waliobambikiwa kesi za mauaji na kusaidiwa hata kama hana mamlaka naona sawa tuu kuliko watu wateseke kwa kuzungumzia mamlaka...na wakitaka wakupoteze kesi ya Ardhi unapewa mauaji na wengi wamehukumiwa hivyo sio kila kitu kupinga tuu hata kwa vitu anavyopatia ili mradi tupo upande tofauti hata akifanya kitu kwa maslahi ya watu waliodhurumiwa haki zao ni kupinga tuu..
 
Hizo kesi wakizi-review tena kuna watu wanatoka clean...

Sababu kesi nyingi za mauaji ni za kubambikiana... Mtu akitaka akuumize akubambikie kesi ya ubakai au mauaji... amekupoteza...


Cc: mahondaw
 
Kama ni hivyo basi, ili kubalance mambo, kesi zote zilizokwishaamriwa NCHI NZIMA zirudi mahakanani zisikilizwe upya. Hii itasaidia kuondoa dhana ya upendeleo na ukanda anaoujenga Magufuli kila kukicha.
siyo dhana ni ukweli ndivyo ulivyo.
 
Hili je..?
Screenshot_20190719-194005.jpeg
 
Back
Top Bottom