tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Huu ndiyo muda niliokuwa nikiusubiri. Mmoja kaulizwa jins ya kuepuka vita ya wenyewe kwa wenyewe, yeye kajibu hatuna udini wala ukabila kwa hyo vita haiwezi kutokea.
kWA HIYO aliyeshinda ndo huyo aliyejibu huo ushuzi duh kweli mwaka huu tunashinda miss weldi!!!!ya vilaza!!
Kaka kama hilo swali lime-elekezwa kwako ungejibu vipi? naomba jibu lakoHuu ndiyo muda niliokuwa nikiusubiri. Mmoja kaulizwa jins ya kuepuka vita ya wenyewe kwa wenyewe, yeye kajibu hatuna udini wala ukabila kwa hyo vita haiwezi kutokea.
IQ ikiwa ndogo utajua tu.
Huyo anatumia masaburi pamoja na jirani yake masaburi kufikiri,Huu ndiyo muda niliokuwa nikiusubiri. Mmoja kaulizwa jins ya kuepuka vita ya wenyewe kwa wenyewe, yeye kajibu hatuna udini wala ukabila kwa hyo vita haiwezi kutokea.
haya mambo mbona tunayajadili kila siku humu? Lazima tukubal hawa mamiss ni watupuKaka kama hilo swali lime-elekezwa kwako ungejibu vipi? naomba jibu lako