Mamilioni yachotwatwa nssf kupelekwa kwenye ajali ya meli znz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamilioni yachotwatwa nssf kupelekwa kwenye ajali ya meli znz.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by matongo manawa, Jul 26, 2012.

 1. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Serikali imechota burungutu la mamiioni kinyume cha utaratibu kutoa mfuko hifadhi ya jamii
  pesa hizo ni michango ya wanachama wa mfuko huo,inasemekana serikali haina fedha.
   
 2. c

  chachu Senior Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hilo tunalifahamu siku nyingi na sio leo kwa ajili ya meli. Fedha nyingi ilichukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma na miradi mingine.
  Nachowasihi serikali msitunge sheria za kugandamiza mfanyakazi ambaye analipa kodi kubwa kwa mwaka kupitia pay ass you earn na kama mtumiaji wa bidhaa wa mwisho ni mlipa kodi kwa kila anachonunua. KODI HIZO ZINAWATOSHA. NSSF TUACHIENI NI HAKI ZETU.
   
 3. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Sijali kama hii habari ni ya kweli sababu hakuna chanzo cha habari.
  Huu msamiati wa serikali haina hela hauniingii akilini kabisa! Sasa kama haina hela hizi akiba za wanyonge ndio za kutumia?! Nachelea kuwa serikali ikishatumia kurudisha itakuwa historia maana mifano iko mingi. Na hii sheria waliyojitungia inayotukataza kudai mafao yetu kabla hatujatembea na mkongojo ndio siielewi kabisa.! Au ndio uchochoro/ simple solition serikali inatumia kufuja mafao yetu?
  Chondechonde serikali na akiba yangu ya uzeeni, tutaja onana wabaya mbeleni!!
   
 4. Zatara

  Zatara JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 549
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  [​IMG]
  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi , akizungumza na Meneja Mahusiano wa Shirika la Hifadhi ya Jamii kwa Mashirika ya Umma (PPF), Lulu Mengele, aliyefika Zanzibar kutoa mkono wa pole kwa niaba ya uongozi wa mfuko huo na wafanyakazi kufuatia ajali ya boti ya Skagit iliyotokea Julai 18, mwaka huu. PPF imetoa hundi ya Sh. 5,000,000 kama pole.
   
 5. H

  Hon.MP Senior Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani katoa kibali hicho? Hivi vyama vya wafanyakazi vunafanya nini?
   
 6. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hela ndogo hyo wacha watoe.
   
 7. T

  Ti Go JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 361
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  hiyo ndogo, wewe ukistaafu utaambiwa mfuko hauna hela. ni kujipendekeza tu
   
Loading...