mamilioni ya waliopata kikombe cha babu tupeni ushuhuda wa kupona kwenu ukimwi, ksukari,nk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mamilioni ya waliopata kikombe cha babu tupeni ushuhuda wa kupona kwenu ukimwi, ksukari,nk

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fazili, Jul 19, 2011.

 1. f

  fazili JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Ningetegemea sasa baada ya watu zaidi ya milioni 1 kupata kikombe kwa babu kuona wakifurika kwenye vyombo vya habari kutoa shuhuda, kwani najua kama wapo waliopona ukimwi na magonjwa mengine tishio wangekuwa na furaha na ujasiri mkubwa wa kutoa ushuhuda na tungeona kipindi kizima cha tv au redio ama kurasa nzima za magazeti zikitoa habari kama hizo lakini sijaona.

  sasa nini kimewatokea hawa mamilioni waliokwenda kwa babu mpaka wamegeuka bubu kiasi hiki au bado wapo kwenye dozi?
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Bado dozi inafanya kazi matibabu hayajakamilika!
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hakuna cha kupona wala nini? Ndo kwanza siku zinapungua, labda usubiri matangazo ya vifo kwenye vyombo vya habari.
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Hawajageuka mabubu ndugu.Kifupi ni kwamba dawa ya babu imeleta mabadiliko makubwa sana katika kurudisha uhai wa taifa letu, yafuatayo kwa ufupi yametokana na matokeo ya dawa ya babu;
  1. Watanzania wameamshwa kupitia maandamano ya CDM na watu wengi sasa wanajua haki zao
  2. Waziri mkuu mstaafu Frederick Tluway sumaye kuisema CCM hadharani
  3. CCM kujivua gamba
  4. Kuadilika kwa kamati kuu ya CCM na secretariet yake
  5. Lowassa kuongea bungeni kwa mara ya kwanza tangu ajiuzulu wadhifa wake kwa kumsema hadharani swahiba wake kuwa ni kiongozi legelege katika kuchukua maamuzi mazito
  6. Hatimaye Rostam Azizi amekubali kuachia madaraka yake yote
  7. Kashfa ya kihistoria ya kuhongwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara ya Nishati na MADINI na kukamatwa kwa barua ya kifisadi ya JAIRO ya kukusanya 1billion
  8. Kukataliwa kwa bajeti ya wizara ya Nishati na mADINI
  Tafadhali orodhesha mengine yaliyotokana na dawa ya babu
   
 5. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kuna uhusiano gani na kikombe cha babu?
   
 6. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  mgawo wa umeme usiokuwa na kikomo
   
Loading...