Mamii, walipe Mishahara watumishi wa Umma wafurahie Xmass

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Wanabodi,
Watumishi wengi wa Umma hawajalipwa mishahara mpaka leo tarehe 23 Desemba 2016, na sikukuu ndio hiyo tarehe 25 Desemba. Leo ni Ijumaa, na kesho sio siku ya kazi.

Mamii mbona unawafanyia hivyo?
Enzi za Yule mwenzako, tarehe kama hizi watu wanakenua tu.

Kulikoni?
 
Nitawashusha waishi kama Mashetani
 
Unafanyia wapi mkuu? Mshahara unaelekea kuisha wewe ndiyo unaulizia
 
Wanabodi,
Watumishi wengi wa Umma hawajalipwa mishahara mpaka leo tarehe 23 Desemba 2016, na sikukuu ndio hiyo tarehe 25 Desemba. Leo ni Ijumaa, na kesho sio siku ya kazi.

Mamii mbona unawafanyia hivyo?
Enzi za Yule mwenzako, tarehe kama hizi watu wanakenua tu.

Kulikoni?
Hivi wewe takataka ni nani unamwita mamii? unafanya utumishi wa umma wa nchi gani?
 
Wameshalipwa tangu tarehe 21.12.2016

Mkuu pole na taarifa zisizo sahihi, isipokuwa uko sawa ENZIII zilee kulikiwa hakuna watumishi hewa.
 
Wanabodi,
Watumishi wengi wa Umma hawajalipwa mishahara mpaka leo tarehe 23 Desemba 2016, na sikukuu ndio hiyo tarehe 25 Desemba. Leo ni Ijumaa, na kesho sio siku ya kazi.

Mamii mbona unawafanyia hivyo?
Enzi za Yule mwenzako, tarehe kama hizi watu wanakenua tu.

Kulikoni?
wewe kama sio mzaramo basi mkwele
 
Wanabodi,
Watumishi wengi wa Umma hawajalipwa mishahara mpaka leo tarehe 23 Desemba 2016, na sikukuu ndio hiyo tarehe 25 Desemba. Leo ni Ijumaa, na kesho sio siku ya kazi.

Mamii mbona unawafanyia hivyo?
Enzi za Yule mwenzako, tarehe kama hizi watu wanakenua tu.

Kulikoni?
Huu uchochezi tushamaliza kutumia toka tar 21 mchana duh
 
Back
Top Bottom