Mamia ya Polisi toka China bara waelekea Kisiwani Hong Kong kuzima maandamo.

Trump kawaambia tulieni.
Ile sheria ishasimamishwa ila jamaa wanakiendeleza. Crimea Ver 2.0
 
Mamia ya magari ya kivita yakiwa yamebeba mamia ya Askari wa kutuliza ghasia toka China Bara yameshudiwa yakielekea kisiwa cha Hong Kong ikitabiriwa yanaenda kuzima maandamo yaliyo sababishwa na mabeberu ya magharibi kwa maslahi yao binafsi.

Ikumbukwe Mamlaka za China zimepata kukemea mara kwa mara uingiliaji wa mataifa hasa ya magharibi mgogoro ulipo huko Hong Kong.
Picha hakuna?
 
Back
Top Bottom