mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,829
Umeandika kwa hisia utadhani ni mwananchi wa china
Kwa nini unauliza hivyo?
Kwa nini unauliza hivyo?
Unadhani sifa? Na yeye atakufa piaPutin yeye hudunga sindano za ukimwi waandamanaji vihere here
Hahaha!Umeandika kwa hisia utadhani ni mwananchi wa china
Picha hakuna?Mamia ya magari ya kivita yakiwa yamebeba mamia ya Askari wa kutuliza ghasia toka China Bara yameshudiwa yakielekea kisiwa cha Hong Kong ikitabiriwa yanaenda kuzima maandamo yaliyo sababishwa na mabeberu ya magharibi kwa maslahi yao binafsi.
Ikumbukwe Mamlaka za China zimepata kukemea mara kwa mara uingiliaji wa mataifa hasa ya magharibi mgogoro ulipo huko Hong Kong.