Mamia ya Polisi toka China bara waelekea Kisiwani Hong Kong kuzima maandamo.

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Mamia ya magari ya kivita yakiwa yamebeba mamia ya Askari wa kutuliza ghasia toka China Bara yameshudiwa yakielekea kisiwa cha Hong Kong ikitabiriwa yanaenda kuzima maandamo yaliyo sababishwa na mabeberu ya magharibi kwa maslahi yao binafsi.

Ikumbukwe Mamlaka za China zimepata kukemea mara kwa mara uingiliaji wa mataifa hasa ya magharibi mgogoro ulipo huko Hong Kong.
 
HUKO NAKO NI BALAAA, AISEE HAWA MABEBERU NOMA SANA
 
Hilo swala litazimwa ila halitakwisha china amepoteza sana ushawishi visiwani

Na wenye dunia yao watatumia huo mgogoro kuimbisha sana china
 
Nako Puttin ana kazi...
Hana wasiwasi Msela wake Bashar atamsaidia!
hos.jpg
 
Mamia ya magari ya kivita yakiwa yamebeba mamia ya Askari wa kutuliza ghasia toka China Bara yameshudiwa yakielekea kisiwa cha Hong Kong ikitabiriwa yanaenda kuzima maandamo yaliyo sababishwa na mabeberu ya magharibi kwa maslahi yao binafsi.

Ikumbukwe Mamlaka za China zimepata kukemea mara kwa mara uingiliaji wa mataifa hasa ya magharibi mgogoro ulipo huko Hong Kong.
Hivi habari kama hizi zinatusaidiaje
 
Hawa siyo waandamanaji.

Kama kuandamana waandamane lakini kuzuia uwanja wa ndege watu kutoka mataifa mbalimbali wasisafiri mpaka safari zote zinafutwa huo ni ujinga.

Wanavamia vituo vya polisi wanavunja vioo vya majengo ya polisi kwa kuyarushia mayai na polisi wanawazuia kwa utaratibu tu wao wanaleta fujo.

Kuna clip raia wa Aussie anavyoongea nao kwa hoja hao vijana wa HongKong wanaoandamana uwanja wa ndege, masikini ya Mungu! Vijana wa HongKong hawajui hata wanachopigania.
 
Back
Top Bottom