Mameya wa CHADEMA jijini Dar Es Salaam wafanya ziara Arusha, Meya Dar amchana Lema kimtindo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Mameya wa Dsm wakiongozwa na Lord mayor Dsm Isaya Mwita wako jijini Arusha kwa ziara ya kubadilishana uzoefu.

Katika msafara wa meya wapo pia madiwani wa CCM ambao ni wenyeviti wa kamati.

Meya Isaya amesema katika mambo ya maendeleo itikadi inawekwa pembeni na mshikamano unazingatiwa hivyo amewaasa wana Arusha kuepuka kubaguana.

Na katika kuthibitisha anachoongea alimsimamisha diwani mmoja wa CCM asalimie, hili ni fundisho tosha kwa mbunge wa Arusha anayedhani maendeleo yana vyama na upinzani ni kupinga kila kitu.

Chanzo: Ayo tv!
 
Wewe dada mbeya sana.
 
Unaelewa maana ya " kimtindo"?........kama hujui omba msaada kwa Fatuma!
Mjinga wewe sijui la wapi akili fupi utafikir umelewa pombe za chato.Kwann unakuja na vihabari vya kishangingi kuwawekea watu maneno mdomoni?Huyo malaika wa mbinguni amewafanya mpk mmekuwa kama mazombie kufarakanisha tu.
 
Wewe ndio Lema?......punguza kiherehere utavimbiwa!
 
Back
Top Bottom