singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hili lishirika bhana!! Pesa wanaziwekaga wapi?Tanzania haina hakuna shirika linalotoa huduma nafuu kwawanchi kila shirika la umma limejiwekea mikakati ya kupiga pesa tu.Kenya vivuko vyote vya serikali ni bure hakuna mtu kulipa nauli. Sasa njoo kwetu hapa!!!
Tena wafutwe kazi tuu tushachoka we unakwenda kuripoti fault inakaa miezi 3. Meneja kila ukimuona yeye na simu tuu. Katika shirika linahitaji damu changa ni hili Wazee ni wengi sana na hawajui kwenda na muda. Nadhani ajira zinakwenda kiukoo sana hapo