Uchaguzi 2020 Mambosasa: Wagombea ubunge walioshindwa warudi majimboni mwao

Kuna watu hawajielewi, kwahiyo kama mimi ni mgombea Arusha mjini, siruhusiwi kwenda Dar?
Wewe ndo hujielewi usiyejua kusoma sentensi ukaikamilisha na kugundua maana yake na sababu husika iliyobainishwa. Ukipaniki kwa kushindwa uchaguzi, pls usipaniki na huku, usijesema nako wamekuibia maneno uliyotaka kuyasema.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.
 
Mtu umekataliwa na Wana Mara, Mbeya, Arusha na kigoma, unakuja kutusumbua Wana Dar eti tukuandamanie ili Iweje sasa,

Mbowe, Zitto, Lema, Sugu rudini mkawasumbue hao wapiga Kura wenu, huku hatuandamani ng'o
 
Nchi ya ajabu sijawahi kuona, hata maandamano ya amani ambayo ni haki ya kikatiba yanazuiliwa
Sasa utajua Kama yalikuwa ya Amani ama ya vurugu, ngoja Mbowe akifika mahakamani na kisomewa mashitaka ya ugaidi akaozee jela kwa kutuma vijana wakalipue visima vya mafuta.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.
Sheria ipi inazuia wasiende Dar? Aache upumbavu!
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.
Hivi katiba imebadilishwa siku hizi kuhusu mahali pa mtanzania kuishi humu nchini?
 
Mimi muumini wa amani na naomba lolote litakalo kuwa lakini tudumishe amani ila topic hapa ni kauli ya Mambosasa, kiongozi yoyote makini hatoi matamko ikiwa utekelezaji wake hauwezekani inakupunguzia heshima na watu kutokuchukulia serious tena. Kauli yake au amri yake haitekelezeki hata alete polisi wote Dar. Utaanza vipi kumshika mtu na kumwambia wewe rudi Mwanza, wewe Arusha na wewe Iringa, hii Tanzania utaishi kokote unakotaka sasa umemshika mtu tuseme umetumia kigezo hicho uligombea kule rudi akakujibu sawa niligombea kule nilishindwa nimekuja kuaanza maisha upya hapa utamwambia nini? toa matamko yanayotekelezeka kwa mujibu wa sheria zetu au katiba yetu sio matamko kama yale ya Makonda nitawashika wabunge wote au warudi bungeni mwisho wa siku huwezi kufanya lolote kidogo kidogo watu waanza kukudharau na kauli zako wanakuona kama kichekesho fulani. Weledi katika kazi yoyote ni muhimu.
 
This must be coming from Bashitez puppet master!

Hii nchi si tunaambiwa ni yetu sote. 😅

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Nchi ya ajabu sijawahi kuona, hata maandamano ya amani ambayo ni haki ya kikatiba yanazuiliwa
Maandamano ya amani, ni yale ya chama fulani kujipongeza kushinda kwenye maigizo ya uchafuzi.

Tusubirie, tutayaona, yajayo yanafurahisha!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.
Jinga kweli hili lizee
 
Back
Top Bottom