Mambosasa: Tumewaachia kwa dhamana watuhumiwa walioongoza maandamano, uchuguzi unaendelea!

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
17,104
26,068
Akizungumza na vyombo vya habari,Mambosasa amesema wamewaachia kwa dhamana wanaoshukiwa kuongoza maandamano kudai Airbus iachiwe!Amesema waliwashikilia central kwa mahojiano na uchunguzi unaendelea!
Akaongeza,"majina nimeyasahau sikuja nayo"!
 
Rubbish!
 
Huyu naye kashika sharubu za simba. Amri imetoka kwa boss wake makonda.
Wtuumiwa wa kufanya mikutano hisiyo na vibali wanalala sero zaidi ya siku tatu. Hawa wamevamia ubalozi, wanaruhusiwa kwa dhamana.
Mbaya zaidi majina hayakumbuki, Is he real serious?
 
Akizungumza na vyombo vya habari,Mambosasa amesema wamewaachia kwa dhamana wanaoshukiwa kuongoza maandamano kudai Airbus iachiwe!Amesema waliwashikilia central kwa mahojiano na uchunguzi unaendelea!
Akaongeza,"majina nimeyasahau sikuja nayo"!
Tulijua hakuna jipya ila ni aibu tupu imebaki kwenu kwa kupanga maandamano ya kijinga na ya kipumbavu
 
Tangu mwanzo nilikua najiuliza, hivi ni hilihili jeshi halijaja na sura za waliokamatwa wala majina?
 
Aseme ukweli tu.

Kwamba kaamrishwa na bashite awaachie.

Naye ametii.
 
Nilimisikiliza kwanzia mwanzo alipo tos maelezo ya siku ya kwanza nikagungua mweshimiwa hapendi kusema uwongo na hajui danganya ila in malazimu kufanya ivyo tuuh
 
Back
Top Bottom