Mamboo!!!

Hard Rock

Member
Oct 1, 2011
30
24
Wadau naomba mnipokee mwenzenu humu jamvini kwani naipenda sana jamii forum. Naomba mniwie radhi na mnirekebishe pale nitakapokuwa nakosea kuchangia mada hasa kutokana na ugeni wangu.

Naomba kuwasilisha.
 
karibu sana bangugu ila nakuomba uelewe kw kizazi cha ss ni kizazi cha mabaliko na mabadiliko yataletwa na wapinzani hvy km ww ni magamba(ccm) jiandae
 
Karibu sana. Kumbuka kusoma JF rules and regulations na How to use JF effectively. Then, ... enjoy!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom