Mambo yote Columbus Ohio - July 4th weekend

Mtuwekee na mapicha tunataka kuona picha ya Jmushi1 akiwa na MWK,Nyani Ngabu na YNIM......
 
Wakulu MwK na Mkjj, please andaeni mambo ya live conference..... kwa video au radio...miye hata kama umeme utakatika huku Isesa, Iringa nitafanya juu chini kuwa online siku hiyo, alimradi tu nami nime patisipeti, ikibidi nitaenda pale Palokia, kuna padri mmoja ana moyo mwema sana wa kusaidia mambo ya mawasiliano...

mnaweza kuandaa Msn ID, Yahoo ID au Skype ID ambazo mtazitangaza ili watu wa mbali waweze kushiriki pia siku hiyo....

baadae
 
Tunaomba mlushe LIVE hilo Bashi kwa kupitia KLH news LIVE ili na sisi ambao tupo kusini ya mbali tufaidi angalau harufu tu na midundo.
 
SteveD, Ninajaribu sana kuwasiliana na waandaji ili hili lifanikiwe. Kuna kazi lakini natumaini litafanikiwa.
 
Tunaomba mlushe LIVE hilo Bashi kwa kupitia KLH news LIVE ili na sisi ambao tupo kusini ya mbali tufaidi angalau harufu tu na midundo.

Hili linashughulikiwa na waandaaji watasoma hapa au kupelekewa ujumbe ili kutoa burudani kwa walio mbali na wale ambao hawatafika.
 
Mzee Geeque na Bongo Radio wataleta matangazo live.. tutaona jinsi ya kushirikiana nao.. otherwise... asiye na mwana abebe jiwe!
 
Nimekubali ngoma ya kitoto haikeshi, Hii basi ndiyo ya watu wazima! Next time I will show up!
 
Hujachelewa bado mkuu,

Unaweza kushow up anytime....

Nilikuwa sijajiandaa nisije chemka bure na harakati za zima moto, LOL, next time tu!!
 
Duh mwanakijiji,
Jamani mwee mbona mimi sina mwanaa! yaani ndio inabidi jiwe kweli...haya makubwa!
Mwafrika wa kike unanitia uchungu mwenzio vileee!
 
Nimetuma mwandishi huko huko ulaya ya marekani...natumaini atanitumia picha nyingi ili niweze kuonyesha olde-skool! MOJA! Kwa waandaaji Kubwa Juu!!!
 
namuona Jmushi1 au yeye anatumia iphone ku loh in JF.......lakini raha ya sherehe kuzima!
 
Mwafrika wa Kike alituahidi picha za JMushi, Nyani, YourName, Mwanakijiji, na Fundi Mchundo ofcourse...maana naamini wote walikwenda...ulaya hakuna matatizo ya nauli au usafiri.....mimi leo sibanduki hapa kwenye internet cafe...mpaka kieleweke hizo picha nizione;-)

StevD..recovery haiwezi chukua three days bana....mbona Jmushi na FMES wako hewani tayari na hao ndo wadau huko? au ndo mamabo ya blackberry hayo?
 
.... Masanja, kumbuka kuna wanywa juice... si wote wanazimia ndovu na chang'aa, kuna ma- teetotal ati ...... lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom