Mambo yote Columbus Ohio - July 4th weekend

Aisee itakuwa bomba sana kukutana na watu wa JF.

...ukiachilia mbali mambo ya kufuta jasho kwa harakati zilizotendeka so far, meeting hii ni kuleta mshikamano wenye personal touch katika hizi harakati na focus ya 2010!!

...they did it, we can do it, yes we can!!
 
That's right SteveD, itakuwa ni mshikamano chanya.
 
Kwa sisi tulio bongo tunaweza pataje viza na kuja kujichanganya na nyinyi? Maana ningependa kuruka majoka ya "Maiko jakisoni njoo, sitakiiiiiiiiii...." na mwafrika wa kike.
 
Itakuwa soo pale itakapotokea wenye bifu zao hapa JF watakapokunjana hahahaha.

ha ha ha ha ...

Dont worry about it... ndio maana wakulu kama Mkandara na FMES wanakuja ili kuweka heshima .... si unakumbuka vitu vya FMES kwa Mama Migiro?!?!
 
Kwa sisi tulio bongo tunaweza pataje viza na kuja kujichanganya na nyinyi? Maana ningependa kuruka majoka ya "Maiko jakisoni njoo, sitakiiiiiiiiii...." na mwafrika wa kike.

ohhh jamani,

kwa walioko bongo... kuna arusi ya mdogo wetu Maxence (the best geek in town) inakuja mwezi wa nane... itakuwa ni wakati mzuri wa kukutana huko na kuruka majoka... membaz kibao wa JF wanapanga kuwepo huko pia.
 
Itakuwa soo pale itakapotokea wenye bifu zao hapa JF watakapokunjana hahahaha.

Duh! wenye bifu wakikutana itakuwa bomba sana....lakini sidhani kama watakunjana....nadhani wakitambulishana wataishia kucheka na kuwa washikaji.....but I could be wrong.
 
ohhh jamani,

kwa walioko bongo... kuna arusi ya mdogo wetu Maxence (the best geek in town) inakuja mwezi wa nane... itakuwa ni wakati mzuri wa kukutana huko na kuruka majoka... membaz kibao wa JF wanapanga kuwepo huko pia.

mnipe kadi ya mchango ili mimi na mama yenu tusikose
 
Duh! wenye bifu wakikutana itakuwa bomba sana....lakini sidhani kama watakunjana....nadhani wakitambulishana wataishia kucheka na kuwa washikaji.....but I could be wrong.

...yes Ngabu, Nyama Hatari will blow ya head off with his "water pistol"... ;)
 
Hivi, is a there a reason to have this thing in Columbus? Why Columbus?

Kama waandaaji wa hii shughuli mpo hapa, au anayejua, nisaidieni, I am just curious!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom