Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 58
Hoyaaaa,
Kuna watu wanabisha kuwa baskweli ya Mkjj ni fake, wale ambao hawaijui sauti ya umeme ya FMES, wale ambao hawakumbuki kuwa Mkandara alikuwa moja ya entertainers bingwa bongo, wale ambao kwa muda mrefu wametaka kukutana na my in - law Nyani Ngabu.
Hoyaaa,
Wale ambao wamekuwa wanamsikia yule mtayarishaji na mrushaji wa vipindi vikali kabisa vya bongoradio - mazee GQ, wale ambao wametaka kukutana na mwalimu AbTitchaz, vipi wale ambao wanataka kumuona mchungaji akiruka majoka. Na vipi wale ambao wanataka kukutana na mwafrika mwenye pumba lakini moto mkali wenye kiherehere cha kike.
Hoyaaa,
Ukitaka kuona Ngabu akicheza na two sisterz kwa mpigo, ukitaka kumuona Mkjj akirusha mambo live, ukitaka kukutana na watanzania na wana JF kibao ambao watapanga mikakati ya kuendeleza JF na klhnews. Ukitaka kukutana na Kuhani mkuu na cousin yake Pundit kujifunza lugha, labda unataka kujua matatizo yako kiafya toka kwa dakitari bingwa jina lako ni langu (YNIM)
Mambo yote ni Columbus - Ohio weekend ijayo. Panga kuwepo kwani baada ya hapo hutasita kuendelea kufurahia maisha yako kuliko vile unavyostahili - By Nyani Ngabu.
Thanks!
Mods, kutokana na umuhimu na uzito wa kinachoelekea kufanyika, naomba nitumie hii ijumaa kupigia debe hii bash ya Ohio na umuhimu wake kwa wana JF.