mambo yatakayotokea mwisho wa utawala wa ccm

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
nimekuwa nikiwaza siku ccm itaondolewa madarakani na watanzania itakuwaje hasa!!!!!!
kwa kweli mimi binafsi nimechoka mno na safari ndefu ya kusafiri ni hili chama la majizi ccm
nilikuwa nikitazama yanayotokea zambia wakati majizi mengine yalipofukuzwa madarakani na wazambia
mambo yaliyotokea zambia sikuweza kuamini macho yangu
miji yote na vijiji ilikuwa ni sherehe kuimba na kulia kilio kikubwa kabisa
hapa kwetu itakuwaje????
ngoja nianze mimi!!!!
watanzania watawatafuta wale waliokuwa na madaraka kuwafanya watakacho
ofisi zote za ccm zitachomwa moto
majumba yote ya hao wezi ccm yatachukuliwa na serikali ya watanzania
mimi binafsi ninamvutia pumzi mkuu mmoja sipendi kumtaja kwa sasa,nitakachomfanyia atajuta kuzaliwa dunia hii
----------------
-----------
weka ya kwako!!!!!!!!!!!!!!!!
 
du mkuu,
kwa ile furaha tutakayo kuwa nayo inabidi tunywe damu zao
 
Mi sipati picha ila cha kwanza nitavaa skafu yangu ya CHADEMA na nilishatoa ahadi kwa wazazi wangu
kuwa ccm ikiangushwa nitachinja ngombe wa kutosha na tutafanya sherehe ya pamoja baadae
nitahakikisha nafanya mambo flani! naamini ipo siku yaja!
naichukia ccm kupita maelezo!
 
Wala msihofu jaama, mbona kama vile hatuwasiliani vema?????? Ufalme huu wa ghiliba uu karibu kutoweka tena kwa aibu kubwa
!!!!!!!!!!!!!!
 
Tanzania will be the happiest place in the world to live in. If i will be alive if GOD Keeps me alive i will help disadvantaged people who were kept so by these tyrrants.
 
Back
Top Bottom