Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,667
- 149,839
Uchaguzi huu mdogo kama utafanyika (CHADEMA wasipokataa rufaa) CCM itapoteza uchaguzi huu na itashindwa vibaya kutoka na mambo yafuatayo:
1.Sakata la Lugumi(the way lilivyomalizwa bungeni)
2.Sakata la UDOM(namna wanafunzi wale walivyofukuzwa pale chuoni)
3.Kodi ya VAT kwenye utalii(Arusha ni mji wa kitalii na wengi wataathirika na hii kodi)
4.Kodi kwenye miamala ya ATM na Mpesa,tigopesa,n.k
5.Bei ya Sukari(hili haliihitaji hata kushikiwa bango bali ni kulitaja tu kama kukumbushia na wananchi wataelewa)
6.Bunge live(hili ndio kabisa litawamaliza)
7.Madai ya wabunge kuzibwa midomo
Mambo hayo saba ukiongeza na matatizo mengine katika Jimbo hilo,itakuwa ni vigumu kwa CCM kushinda uchaguzi huo kama ilivyo vigumu kwa Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Hakika nawambieni mtajuta kushinda kesi hii na mtasema bora huu uchaguzi usingekuwepo.
Nawashauri Mkuu wa Kaya hata kwenye kampeni msimpeleke vinginevyo mtakuja kujilaumu.