JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 625
- 938
- Kutokuwa na Katiba madhubuti (Katiba ya Wananchi)
- Kutoheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
- Sheria mbaya, zenye mapungufu au zilizopitwa na wakati
- Uelewa mdogo wa Sheria, zikiwemo zinazohusu Haki za Binadamu
- Kutofuata utaratibu wa Kisheria
- Mapungufu ya bajeti katika Sekta muhimu
- Kutotii Sheria
- Uelewa mdogo wa Haki za Binadamu baina ya Wananchi na Viongozi wao
- Kukosekana Uwajibakaji wa Kitaasisi na hata Mtu mmoja mmoja