Mambo yanayo takiwa kupitishwa na bunge kwa kura za siri.

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
1. Uteuzi wa waziri mkuu
2. Uteuzi wa mawaziri na manaibu waziri
3. Uteuzi wa makatibu na manaibu katibu
4. Uteuzi wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
5. Uteuzi wa majaji
6. Uteuzi wa mwanasheria mkuu wa serikali
7. Uteuzi wa dpp
8. Wizara mpya au kuvunja wizara
9. Maeneo ya utawala ( mikoa na wilaya)
10. Mikataba yote inayo zidi USD 1 mil.
11. Mikataba ya madini kiwango chochote.
12. Wakuu wa mashirika ya umma na bodi zao.
13. Etc.
 
Back
Top Bottom