Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiombe yakukute....
Hii ndo hasara ya mwanamke kutotembea na khanga kwenye mkoba
Ooh ghoosh!...Staili ya bata! Nilishashuhudia ishu kama hii wakati nasafiri kwa basi. Dada mmoja ilimtokea kama hivyo. Nikikumbuka tukio hilo najisikia sad.
Huwa nasema kama nasafiri umbali mrefu kwa usafiri wa basi nikianza kujisikia dalili za tumbo la ku-bata bata bora nishukie njiani nitafute lodge nipumzike kuliko kupata aibu!
Halafu ushauri wa bure: Kama unasafiri umbali mrefu kuwa makini na aina ya vyakula unavyokula njiani! Na siku moja kabla ya safari usile chakula kitakachokuletea matatizo njiani!
You re woman...? Ooops
mmh! na wee una mambo, cha kumuumbua mdada wa watu mtandaoni nini?Usiombe yakukute....
Masikini aibuuu...