mambo yamebadilika,Watoto wanapenda shule siku hizi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mambo yamebadilika,Watoto wanapenda shule siku hizi...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mkurabitambo, Jul 31, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  watoto wa siku hizi wanapenda sana shule , maana naamini ningelikuwa mimi(pengine hata wewe) ndo walimu hawapo shule ningerudi nyumbani tu, wala nisingeandamana sijui kwenda wizarani, kwanza ningelifurahi sana, nadhani mambo yamebadilika sana sasa hivi, hawa madogo hawachapwi kwanza. Sijui wengine mna mtazamo upi?? Nakumbuka siku ambazo nilikuwa napenda kwen​da shule ni siku za mitihani na matokeo basi.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hawa ni wa kizazi cha nne!
   
 3. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Uji wa mchele mashuleni unahusika...
   
Loading...