Gwaje
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 299
- 85
Imenichukua muda sana kutafakari kwa kinana kwanini spika sitta alikosa sifa za kuendelea kuwa spika na kuwa spika wa muda mfupi zaidi tanzania.
Sikuwahi kupata majibu, kwani nilitarajia pengine jk aliamua kufanya hivyo ili kubadili utendaji na kuongeza ufanisi.
Baada ya haya sasa akili imekuja na kuitambua picha hii ya jk na richmond na sasa dowans.
Kwakuwa sitta alisababisha richmond kukosa 154milion kwa mwezi wakapanga pesa nyingi za mkupuo kupitia kesi,lakini sitta angekuwa spika inamaana leo bunge lingepiga kura ya kukataa malipo na hivyo kukwamisha mpango wakaamua kumng'oa.
Kama haitoshi aliye kuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge, mh mwakyembe walijua akiwa mbunge angeweza kuibua hoja na kuuliza maazimio ya bunge na hivyo pia ingetia ugumu wa kupata pesa wakampa naibu waziri na wizara ambayo itambana sana asiweze kufuatilia hili.
Kumbe mawaziri hawapaswi kujadili chochote nje ya baraza la mawaziri hivyo walijua kwa kufanya hivyo sitta na mwakyembe watazibwa mdomo na wakisema kama walivyosema wanakemewa kama walivyokwisha kukemewa.
Hii ndio tanzania yetu