Mambo yakufanya gari inapozima ghafla

shamsi19jr

Member
Oct 25, 2015
14
21
Gari imezima Ghafla?

Unaweza kufanya mambo machache wewe mwenyew pindi gari inapozima katika Hali ya kutotegemea kabla aujatafuta fundi.

Kama upo barabarani au sehemu unayoziba njia sogeza gari pembeni kwa kupata msaada wa kusukuma. Manual weka neutral sukuma pembeni. Automatic press shift lock weka neutral sukuma pembeni

Kwanza
Weka switch on(usiwashe) angalia je taa ya check engine inawaka? Kama inawaka na auna uzoefu na magari itafundi aje akuangalizie tatizo.

Note:kama imezima na check engine inawaka usiwashe gari itafundi,hii itakupunguzia gharama maana aujui tatz Ni nini kwenye engine kuwasha kunaweza leta serious problem.

Mfano;may be timing belt/chain imekata(kwa gari za T-belt/chain) kuwasha kwako kutaleta kuvunja valves ambazo Ni gharama zaidi kuliko iyo belt

Pili
Kama taa ya check engine aiwaki. Angalia gauge ya mafuta kama inafanya kazi,nenda kajiridhishe na kwenye tank Kama kweli yapo(chukua mti mrefu unaoweza kupita mpk chini ya tank) kama yapo safi.

Fungua Bonet,
Angalia Maji, angalia oil ya engine na Gearbox (Kuisha kwa oil kunaleta friction (msuguano) ambayo inapinga mtembeo wa vifaa vya engine au gearbox friction ikiwa kubwa kuliko engine power gari itazima tu.

Kama unafaham kidogo kuusu magari angalia waya za ignition coil zote kama Imeingia pia waya za umeme wa nozzles (EFI) kama ziko connected zote(kwa engine za petrol)

Kwa diesel kimbilia kuangalia switch ya pump kama inapata umeme, angalia waya wake.

Kama hivi vyote viko sawa basi ita fundi maana zaidi ya hapo Ni nje ya uwezo wako.

MUHIMU:GARI IKIZIMA GHAFLA KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA USIIWASHE MPK UWE NA UWAKIKA NINI KIMEFANYA IZIME.

Na Eng.Shamsi HA
0789 426 655
 
Huu ni uzi bora kwa asubuhi hii,hongera sana Mkuu.Yote kwa yote tujenge utamaduni wa kulikagua gari lako kabla hujaanza safari.
 
Check pia terminal za betri
 
Back
Top Bottom