The Planner
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 357
- 118
Najaribu kufikiria sakata zima la wikilink jinsi linavyoendeshwa and then nalinganisha na mfumo wetu wa dola ulivyo hapa kwetu and then najaribu kulink na demokrasia. Assange ambaye ni mmiliki wa huo mtandao pamoja na kudaiwa kumiliki kinyume cha sheria classified documents za USA, Bado anakula GOOD time pale UK, polisi wanataarifa za mahali alipo lakini hawawezi kumkamata bila Arrest Warant kutoka kwao, Sio Mchezo! Huyu jamaa laiti kama angalikuwa TZ, mida hii angekuwa Segerea anauguza maumivu ya virungu vya FFU, Hebu tujadili demokrasia na utendaji wa vyombo vyetu vya usalama hapa