mambo ya wekend..........jamani ushauri unahitajika

masho

Member
Apr 9, 2010
56
1
Jamaa kaenda kwa mpenzi wake, amefika katuta kufuli mlangoni, kaamua kumpigia mpenzi wake.
jamaa: hi cwty mambo?
Demu: pouwa my luv
Jamaa: uko wapi mamy
Demu: niko home nimelala
Jamaa: vipi unaumwa?
Demu: no nimepumzika tuu,
Jamaa:eek:key baby i luv u..
Demu: luv u too

jamaa kaamua kukaa pale mlangon hadi ilipofika saa nne usiku Demu anakuja Jamaaa kaishia kumwangalia tuu then akaondoka bila hata ya kusema neno. Demu alipo ajui afanye nini ukizingatia anampenda sana jamaa na anadai ni shetani tuu aliyesababisha hayo.. naombeni ushauri wenye busara ili niweze mshauri huyu mdada... asanten
 
kwa nini aseme uwongo?...alikuwa ameenda wapi?....huyo dada si mwaminifu
 
Jamaa kaenda kwa mpenzi wake, amefika katuta kufuli mlangoni, kaamua kumpigia mpenzi wake.
jamaa: hi cwty mambo?
Demu: pouwa my luv
Jamaa: uko wapi mamy
Demu: niko home nimelala
Jamaa: vipi unaumwa?
Demu: no nimepumzika tuu,
Jamaa:eek:key baby i luv u..
Demu: luv u too

jamaa kaamua kukaa pale mlangon hadi ilipofika saa nne usiku Demu anakuja Jamaaa kaishia kumwangalia tuu then akaondoka bila hata ya kusema neno. Demu alipo ajui afanye nini ukizingatia anampenda sana jamaa na anadai ni shetani tuu aliyesababisha hayo.. naombeni ushauri wenye busara ili niweze mshauri huyu mdada... asanten

1.Huyo msichana hafai...ni MWONGO SANA.
Kuna wakongwe walipata kusema ..bora mwanamke mwizi kuliko mwongo!
2.Huyo msichana hampendi jamaa, kuna watu anaowapenda, na ndo huko alienda.period!
3.Jamaa alifanya vizuri sana kusubiria palepale ili kuwa na ushahidi 'substancial', hapo yuko huru kabisa kuchukua uamuzi anaoona unafaa!
4.Pole kija\na...najua inauma mnoooo!..lakini on the other hand, Mungu amekuonyesha kwamba hayo hayakuwa mahusiano sahihi!
5.Nimemaliza.
 
Hakuna ujinga nisioupenda kuusikia kama mtu anadanganya eti SHETANI TU alinipitia. mwanamke hafai huyooooo
 
Anadai ni shetani hila bado anampenda sana mpenz wake huyo, na mpenzi wake huyo ni mkibosho anaogopa kwenda kuomba msamaha maana anaweza ambulia kipigo cha mwizi
 
Anadai ni shetani hila bado anampenda sana mpenz wake huyo, na mpenzi wake huyo ni mkibosho anaogopa kwenda kuomba msamaha maana anaweza ambulia kipigo cha mwizi

hapo kwenye blue unamaanisha kitu gani?....unaweza kufafanua kidogo
 
namaanisha ni kabila la wachaga from kibosho

sasa ulivyosema anaogopa kwenda kuomba msamaha jamaa ni mkibosho ataambulia kipigo cha mwizi....unamaanisha hao jamaa ni wapigaji sana au ulikuwa na maana nyingine? hebu thibitisha usemi wako
 
wanaume wa kibosho ni wakali sana, ukizingatia tena na kosa la huyo bibie lazima kufikiria mara mbilimbili,
 
sasa ulivyosema anaogopa kwenda kuomba msamaha jamaa ni mkibosho ataambulia kipigo cha mwizi....unamaanisha hao jamaa ni wapigaji sana au ulikuwa na maana nyingine? hebu thibitisha usemi wako

Mamushka inaelekea hawa jamaa ngumi mkononi

but all in all huyo demu deserves a good beating maana ni mwongo hafai kwa matumizi ya binadamu.

Mamushka inaelekea hawa jamaa ngumi mkononi

but all in all huyo demu deserves a good beating maana ni mwongo hafai kwa matumizi ya binadamu.
...

aaaah sweetushka 'kilo alfa romeo india bravo uniform'....huyo demu kweli kwenye matumizi ya binadamu hausiki lakini pia siku hizi hakuna mtu anapiga mtu....ni kung'ang'ania maradhi tu....
:yuck:
 
hii nayo kali, jamaa alifanya jambo la mbole sana kuka mlangoni kudadeki....
 
...

aaaah sweetushka 'kilo alfa romeo india bravo uniform'....huyo demu kweli kwenye matumizi ya binadamu hausiki lakini pia siku hizi hakuna mtu anapiga mtu....ni kung'ang'ania maradhi tu....
:yuck:

asijaribu kumface huyo jamaa am telling you she will have some nice ngumis alafu aachwe huwezi jua huyo jamaa anafikiria nini kwenye mawazo yake.
 
cm za mkononi zinazidi kuzua mambo hivi hakuna njia mbadala? just curious :rolleyez:
 
Huu uwongo nao.

Sasa hapo kamkamata live akidanganya,kuna mangapi alishamuongopea?

Huyo jama achukue tu hatua za kidiplomasia.Aongee nae amweleze jinsi ambavyo aliudhika na hiyo tabia.Pia amkataze kumsingizia shetani kwenye huo ujinga wake

Jamaa ajikate tu,amuage tu vizuri coz hata wakiendelea pamoja atazidi kujiimarisha katika uwongo wake
 
du huyo dada noma,ila naimani hajatulia na si vibaya akiachwa na mskikaji anaonekana nimwelewa sana otherwise ingekuwa mtu wa kawaida kimazali sijui huyo dada angekuaje.hebu nipe stutus ya dada,hajakonda?analala vizuri.naimani mungu ndie pangaji,ila dada asijaribu kwenda
 
One of the good examples of a SOFT REVENGE. Angalia dada wa watu anavyojiharishia. Kwa kweli sina ushauri zaidi ya kumwambia AUGULIE maumivu na amsahau jamaa. Lakini mapenzi ni ujinga na wendawazimu; labda jamaa atarudi hasa kama dada mauno marefu, mnato, plus ma-care yalikuwa ya nguvu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom