mambo ya wakubwa haya!!!

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
31996_1363342476261_1012585859_30892234_5487625_n.jpg
 
mama alikuwa anajaribu kuokoa taifa lake kutoka kwa madhara ya kutumia viagra ndio maana kawaambia wale kiti moto ,amejua kuwaokoa kwa kutumia akili.
 
Naendeleza Noah wangu hebu subiri Little Angel aje hapa asome huu ushuhuda wa Malaika mwenzie
 
Last edited by a moderator:
Uamsho wakila noah watapata akili! Mtu yeyote akila kitimoto akili inafanya kazi vizuri!
 
Back
Top Bottom