Mambo ya vyama vya siasa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya vyama vya siasa tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mujumba, Feb 2, 2011.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Baada ya uchaguzi mkuu nlitegemea watu tutatetea utaifa kuliko uchama,hadi watoto wasiokuwa na sifa za kuwa wanachama wameathirika na uchama,nadhani elimu ya demokrasia ni ndogo, na tunakoelekea Tanzania vita haitazuilika kwa sababu ya UCHADEMA,UCCM UCUF na vyama vingine,ni wanasiasa wanatupoteza au sisi wananchi hatuelewi?
   
Loading...