mambo ya safar kanivo

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
yaan tumekwenda na rafiki yangu, akaniambia wahuhudumu wa hapa ni balaa kwa kuchakachua_akasema ngoja ucheki, akamwita muhudum akamuuliza bei ya Savannah, muhudum akasema 3500/_ingawa hatukuwa tunajua bei, mwenzangu akatishia kama anaenda kuulizia counter, hapa ndo nilipocheka mana muhudum akasemaje unajua_he hamtaniwi? Leten 3000/ basi, tukacheka tukamwambia sis ni wenyeji ivo asituchakachue_jamaa akasema ninyi siwachakachui ila mtanipa nauli tu_kwa kweli niliendelea kucheka nikatamani niwaletee wanajamvi nany mtoe experience zenu
 
Back
Top Bottom