Mambo ya Ndoa

komred

Member
Jan 9, 2010
13
1
Swali langu, je kuna ubaya au uzuri kuwasiliana na Ex-boyfriend/Ex-girlfriend wako kwa nia njema wakati tayari ukiwa kwenye Ndoa?
Toa Maoni yako
 
Hakuna urafiki na ex-yeyote baada ya kuachana it will lead you to remember and even act as partners.
 
Swali langu, je kuna ubaya au uzuri kuwasiliana na Ex-boyfriend/Ex-girlfriend wako kwa nia njema wakati tayari ukiwa kwenye Ndoa?
Toa Maoni yako

Vyote vipo, ubaya na uzuri depending on your perspective as well as motive behind your communication. In short there is no correct or wrong answer to your question.Thanks
 
mmmmh ya nini kuwa na mawasiliano????? mimi siamin kabisa na sishauri kwa wanandoa kuwasiliana na ma x zao its non sense kwanza kama mlikuwa mnapendana kwa nin msiendeleeeee na mapenzi yenu, jihadharini yaweza leta shida kwenye ndoa zenu.....:nono:
 
inategemea kwa nini mliachana,katika hali gani na kuwasiliana kwenu kutaleta nini baadae
 
mawasiliano ya nia njema?kwa kipimo kip?
achen utan jaman
km unataka past we nenda tu km upo na miimi kuwa na mimi
mawasiliano juu ya nin?ungekufa suppose izo shda zake angemwambia nan?
ur the only pbm solver to her/him bila wewe maisha hayaend kwake?
hakuna lolote apo ....wakiwasiliana siku 1 mbili basi wanachekeana tu..jamaan wewe lakin....jaman wew yan nkikumbuka ...sjawai pata mwngne tena anaenifanyia km vile yan..ingawa umeolewa lakn aman na moyo wangu upo kwako .....bibie anajibu et eennh???..apo tena venue inatafutwa fasta wanaenda kuchanjana uko......ahhh mi stak
km kuna ulichosahahu nenda mazima mpango wa kujifanya unapenda sana historia stak mie!!!!!!!!
 
Swali langu, je kuna ubaya au uzuri kuwasiliana na Ex-boyfriend/Ex-girlfriend wako kwa nia njema wakati tayari ukiwa kwenye Ndoa?
Toa Maoni yako

Hakuna biashara hiyo!!!!. ukimtaka achana na huyo umwendee tena, ya nini kurudia kunusa excreta yako. Inawezekana?!!!
 
Rafiki,
Masuala ya Ndoa kwa wengi ni masuala ya imani - "faiith" . Ndoa ni kuvuka daraja na kulivunja. Hurudi nyuma! Sijui dini yako inasemaje. Rejea kwenye vitabu vya imani yako. Kama Muislamu tafadhali rejea Kuruani na Sunna tafadhali. Mambo yote yako wazi! Kwa Ex-boy au Girl friend - unataka nini tena?
RA
 
Aaagh jamani wajua tena hatukuachana kwa ubaya na hata hivyo my ex- sio mbaya kwa kila kitu ni sababu tuu za kimiundombinu ndio zilipelekea tuachane mi sioni ubaya na hata akitaka nimpe vitu tena nampa kama ye ni mkali na ndie ananifikisha kwa nini tusiwasiliane..... na isitoshe true love never die
 
1215217]Aaagh jamani wajua tena hatukuachana kwa ubaya na hata hivyo my ex- sio mbaya kwa kila kitu ni sababu tuu za kimiundombinu ndio zilipelekea tuachane mi sioni ubaya na hata akitaka nimpe vitu tena nampa kama ye ni mkali na ndie ananifikisha kwa nini tusiwasiliane..... na isitoshe true love never die
[/COLOR]

Uliolewa kwa mtu unayempenda au uliolewa ili mradi uonekane na wewe umeolewa? Tatizo la watu lama nyie ndoa ni kama ushabiki, uliona shoga yako kaolewa na wewe unaona umri unaenda B/F wako hana mpango na wewe ndo ukakimbilia kwa huyo uliyenaye kwa sasa?

Siamini kama kuna wanawake wa namna kama yako wameolewa na wanadiliki kusema maneno kama yako, kwa maelezo yako upo kimasilahi sana kwa huyo mwanaume aliyekuowa kuliko Upendo wa kweli. Unategemea Ukimwi utakuponya kwa tabia yako hiyo? Chunga Ndoa yako dada ya kale yamepita shika ulichonacho, Uliye naye ndo mumeo. Kama Ulikuwa unampenda huyo B/F wako basi mungeowana bila kujali matatizo yaliyojitokeza maaana matatizo ya miundombinu mlitakiwa muitatue wote wawili.

Ama kweli Infidelity haiishi kwa baadhi ya watu. Hasa kama nyie na Ukimwi hautaisha maana watu bado mnaendekeza kula matapishi. Kama vile una matatizo katika ndoa yako vile au hujaolewa NINI?

Pole sana na Mungu akuguse ubadili tabia na mtizamo wako katika maisha na hasa suala zima la mahusiano.
 
mawasiliano ya nia njema?kwa kipimo kip?
achen utan jaman
km unataka past we nenda tu km upo na miimi kuwa na mimi
mawasiliano juu ya nin?ungekufa suppose izo shda zake angemwambia nan?
ur the only pbm solver to her/him bila wewe maisha hayaend kwake?
hakuna lolote apo ....wakiwasiliana siku 1 mbili basi wanachekeana tu..jamaan wewe lakin....jaman wew yan nkikumbuka ...sjawai pata mwngne tena anaenifanyia km vile yan..ingawa umeolewa lakn aman na moyo wangu upo kwako .....bibie anajibu et eennh???..apo tena venue inatafutwa fasta wanaenda kuchanjana uko......ahhh mi stak
km kuna ulichosahahu nenda mazima mpango wa kujifanya unapenda sana historia stak mie!!!!!!!!

Kweli Rose hata mimi nakuunga mkono 100%
 
Ukishaoa au kuolewa, inakubidi usahau au kujiepusha na mawasiliano ex.bfrnd + ex.g.frnd ili kujua mustakbal mzima wa maisha yako ndoa ,na ni namna gani mnaweza kuudumisha,ili kuepukana vishawi vinavyoweza kuharibu ndoa yenu,kuwasilia watu wa aina hiyo ,sio salama kwa ndoa yako ata kama ni kwa uzuri,ni wakuepukwa.
 
Kama unaipendana kuiheshimu ndoa yako ni tusi kubwa sn kuwasiliana na Ex:nono:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom