Mambo ya muzalendo pub weekend

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
DSC07439.JPG

DSC07534.JPG

DSC07447.JPG
 
huyo dada anapakaga powder gani huko usoni jamani, au ni kitu gani?

hahaaaaaaaaaaaaaaaaa dearest huyo achana naye, yaani after all these years amekuwa mjini hajifunzi tu?????????

kumbe anakujaga sebuleni kwangu eeh ntamvizia nimwambie laivu......
 
Heee kumbe Mzalendo huwa kunakucha hivi? Itabidi nijimuvuzishe weekend ijayo!
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaa dearest huyo achana naye, yaani after all these years amekuwa mjini hajifunzi tu?????????

kumbe anakujaga sebuleni kwangu eeh ntamvizia nimwambie laivu......

utakuwa umemsaidia sana.....
 
kama vile nakufananisha na huyo mwenye kipens cha jinsi ni wewe nini shem?

shikamoo shem!!!!

Jiangalie we shem, mi siendagi huko nilikuwa natania tu........

wewe mtaalamu wa viwanja nielekeze mzalendo ni wapi tena??
 
Lakini dearest response itakuwa chanya?? asije akanigeuzia wikend yangu ikawa chungu kumbe mwenzie nataka nimsaidie tu.......

hapo sasa, na sie wanawake mambo ye2 magumu sana, anaweza akaharibu kabisaaa kabisaa.
 
hapo sasa, na sie wanawake mambo ye2 magumu sana, anaweza akaharibu kabisaaa kabisaa.

hapo sasa, utashangaa naporomoshewa mashushu, bahati mabaya ndo nimkute na mwalimu wake 'Mai'....ntajuta kuwafahamu!!!!
 
Tena huwa kuna mastaa kibao na totoz za nguvu za mujini hasa Ijumaa na J'mosi

Kwa kifupi Machangu!! Siamini binti wa heshima na maadili awe night clubs nusu uchi! Halafu mnakutana huko mara awe rafiki mara mchumba mwishowe mnaoana!!! Baada ya muda mfupi lock up inamshinda!!! Tujaribu pia ku-analyse ndoa zao!!! Ziko ICU na nyingine zinaelekea ICU, na nyingi ni marehemu! Vijana wanaooa siku hizi mna kazi ngumu sana kupata the mother of your kids!
 
shikamoo shem!!!!

Jiangalie we shem, mi siendagi huko nilikuwa natania tu........

Wewe mtaalamu wa viwanja nielekeze mzalendo ni wapi tena??
hapo umeua shem langu duh hii salamu nishaisahau kabisa,hivi bado inatumika?wanaitikiaje vile?hiyo mzalendo pub sijui nafikiri labda iko mbezi beach shem au nimekosea maana na mimi mgeni hapo mjini.
 
hapo umeua shem langu duh hii salamu nishaisahau kabisa,hivi bado inatumika?wanaitikiaje vile?hiyo mzalendo pub sijui nafikiri labda iko mbezi beach shem au nimekosea maana na mimi mgeni hapo mjini.

hiyo salamu bado ipo kama huji kuitikia basi iache!!!

mmh sasa mi nimekuuliza kumbe na wewe huji basi hatuwezi kushikana mikono vipofu wawili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom