Mambo ya mkorogo hayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya mkorogo hayo

Discussion in 'JF Doctor' started by Rubi, Dec 31, 2009.

 1. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  black is beautiful and white is wonderful?
  [​IMG] A woman suffering from skin disorder due to skin lightening creams

  THE zeal to look beautiful and a colonial mentality that white skin is superior is fast driving Tanzanian women into their graves as they risk their lives by using skin lightening creams that in the end turn lethal.

  The problem is not only confined to Tanzania as selling of whitening creams is a lucrative business in Africa worth millions of US dollars a year. In some countries that allow the use of these lethal substances, shelves in pharmacies are stacked high with lotions, creams and soaps all promising to make women whiter and supposedly more beautiful.


  But, in countries like Tanzania, where the use and importation of skin lightening creams is banned, the business is thriving as these dangerous creams are smuggled into the country while dealers on the other hand are discrete.

  Read the rest of this mkorogo story:
  CLICK HERE

   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  nai alisema weupe ndo urembo???? umaskini wa akili tu gadem!!!!!!!!!!!! subirini kansa sasa!!
   
 3. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,187
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Matatizo ya kutokujikubali!
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mwanamke au binti aliyepaka mkorogo ni kichefuchegu kwangu, hata wale ambao wanatumia creams na sindano. Ninakudharau mpaka mwisho, na huwa hata katika panel ya interview ya kazi nikiweza ku-prove pale kama umejibadili asili ya ngozi yako (maana utona pingili za vidole vya mikono na miguuni na sehemu za mguu jirani na kisigino nitakupiga chini. Usoni ni kama gunea pig!! Kulaleki.
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hivi huwa tunafahamu madhara yake in the long run au??? hawa watu wanatabu tena kama kipindi hiki cha joto OMG!!! utawaonea huruma.

  zamani nilifikiri ni washamba wa uswazi tu ndo waendekeza mabo hayo lakini siku hizi la hasha!!!

  namshusha sana hadhi mwanamke aliyechichubua kwa kweli!!!
   
 6. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ni kweli yaani kwa speed hii ya kansa wanawake na wanaume wa kiafrica tungerudi nyuma na kuacha kabisa kutumia haya madawa yote kuanzia ya kubadilisha nywele na hayo ma-creme tungeokowa hawa watoto wetu wanaoadhithirika na kansa bila hatia wakiwa bado wadogo kabisa.

  zamani wanawake walikuwa wanachoma nywele na vichanio vya chuma, wanasuka nywele za uzi nywele zinanyooka na zinapendeza sasa haya mambo ya zazuu. carly, relaxer, n.k. tunahatarisha maisha ya viumbe wadogo bila kujua maana madhara kwa kweli hayajitokezi siku moja yanachukuwa Muda. Tubadilike. Hii mikorogo tunayoletewa na Wazungu ya kutaka tufanane na wao na kubadilisha asili ya Mungu alivyotuumba itatupeleka jehanamu maana Magonjwa ya ajabu ajabu ni mengi sana lakini chanzo chake ni nini? mh.
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Likewise kwa mwanaume aliyejichubua....tena hao ndo balaaaa nawaona si riziki kabsaaaaaaaaaaaaa!!!!
   
 8. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,398
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 280
  Wangejua wazungu wanavyoupenda weusi na wameshindwa jinsi ya kuupata pamoja na elimu yao yote,wanatamani sana u strong wa ngozi yetu but where they can find it?they have tried it in laboratory but all was in vain!!
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenikumbusha enzi zile za vitana, wengine kijijini bila kitana basi unachukua chungu kukuuu unapasua kile kigae unakuwa unapasha kwenye mkaa unapitisha juu ya nywele imepakwa mafuta ya mgando. Na inakuwa very strong and atractive. Halafu unachukua buga au pekosi lako unatilia na kitopu cha heshima na mguuni kiatu cha santana (aina ya tofali vile). Au unachukue ile kitu inaitwa shift (gauni fupi fulani la kola) la kriplini. Yaani unachana afro shiraz unatoka kikweli kweli.
   
 10. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2009
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,807
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Wanaume wanaopapatikia mademu 'weupe' are part of the problem.The poor ladies have to Re-brand in order to be marketable.
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  umaaskini wa fikra sasa!!! yaani nijibailishe niwe feki ndipo nipendwe!!! kuwa wa ukweli na upendwe ulivyo sheeeee!!! tusiwasingizie wanaume bana hapa!!!

  haya na njemba zinazojikoboa nazo????
   
 12. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2009
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,807
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  umaaskini wa fikra sasa!!! yaani nijibailishe niwe feki ndipo nipendwe!!!


  Ina hurt lakini ndio ukweli.Ndio maana poet mmoja aliandika:
  The society like a market stall/ and men(women )goods on display/where the LABEL more important than the CONTENT/and PRICE more fascinating than the VALUE.
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  I will dare to differ hata ukamilifu wa dahari!!!!! to me CONTENT ni muhimu kuliko LABEL, Value ndo ya maana na si bei!!! acha nidumishe ushamba!!! potelea mbali!!!
   
 14. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2009
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,807
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  I totally agree na msimo wako,so does the poet.Hapa poet ametumia inversion to drive the point home.
   
 15. bht

  bht JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Senks na heri ya mwaka mpya!!
   
Loading...