Mambo ya kuzingatia unapotafuta wakili katika kesi za madai-2

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
[FONT=ArialMT, sans-serif]Katika toleo lilolopita mwandishi wa makala hii aliandika juu ya hatari ya kupata hasara kwenye kesi ya madai iwapo mwenye kesi husika asipokuwa makini katika kumchngua wakili ambaye ni mweledi katika eneo hilo. Mwandishi leo anaendelea kuelezea mambo ya kuzingatia mhusika anapotaka kufanya hivyo [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Ugumu mmoja mkubwa unaokuja katika kumtafuta wakili. Mawakili hawaruhusiwi kujitangaza kuhusu huduma zao kibiashara kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili ya Tanzania. Japo nia katika hili ni njema, hili limeleta ugumu kwa sababu kwa mtu asiyejua chochote kuhusu wapi ampatae wakili anategemea tu kumpata kwa kumbahatisha yeyote aliyeko karibu naye au kwa hisia tu (kama mavazi, umri, jinsi, jengo anamofanyia kazi au umbo) au kuelezwa na mtu mwingine kwamba Wakili fulani ni mzuri. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Ukweli ni kuwa mambo haya hayana mantiki sana, japo kuna nyakati yanakuwa sahihi. Na izingatiwe kuwa wapo Mawakili wajulikanao kama [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Ambulance Chasers[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif] kwa tamaa za kifedha ambao huwafukuzia wateja, japo maadili ya sheria hayaruhusu.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Kwa sababu si rahisi kufanya [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]shopping[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif] ya wakili kama unavyoweza kujua nyanya fulani zina ubora gani au unafuu gani kibei kwa kuzungukia soko hadi soko, yapo mambo kadhaa unaweza kuyazingatia ili kuongeza nafasi kwamba wakili unayempata hatakupotosha au kukupoteza katika kesi yako. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]La kwanza ni kujipa moyo kuwa mawakili wote nchini wako katika kiwango kinachokulubalika kwa sababu wamepatiwa mafunzo maalum, wakafanya mitihanmi, wakasailiwa na kufaulu na bado wanadhibitiwa kwa kuhakikiwa katika utaalam na maadili mara kwa mara. Hili ni muhimu kwa sababu kushinda kesi huanza na kuwepo kwa amani moyoni na imani kwamba uamuzi unaouchukua katika kumtumia Wakili ni sahihi. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Hata hivyo, hili lisikuhadae sana, kwa sababu wapo Mawakili wanaitwa [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]sleeping lawyers[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif] (Wanasheria wanaolala) ambao wamewakosesha wateja wao haki kwa kushindwa kufanya kazi kwa akili na kujituma kwa nguvu, bidii na umakini mkubwa. Katika nchi kama Marekani mamia ya watu hufanikiwa kuzibatilisha hukumu za kesi zao kwa kuonyesha namna Wakili fulani ambavyo hakukidhi kiwango kinachokubalika katika uendesha wa kesi .[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Lugha hii hujulikana kama [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Ineffective Representation.[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif](Uwakilishi usiokidhi). Hata hapa Tanzania wapo mawakili wa aina hiyo , na hata kuna nyakati Majaji wa Mahakamz Kuu, Mahakama za Rufaa na Maprofesa wa Sheria wamekemea kuhusu hili.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Ukishalijua hili waweza kufanya mambo yafuatayo sasa: Mosi, mueleze Wakili akufafanulie uhusianao ulipo baina yake na wewe kisheria na mjitahidi kuweka katika maandishi kila jambo muhimu (si kila jambo, ila kila jambo muhimu) kuhusiana na kesi hiyo, hasa linapokuja suala la kesi yenyewe na gharama za kesi. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Wakili mzuri ni yule anayefuata maadili ya kazi, kuwa huru kumuuliza kama amepata kuadhibiwa au kuonywa kwa utovu na chombo inachosimamia utendaji wake wa kazi kama mahakama, na kadhalika. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Bado anaweza kuwa wakili mzuri lakini maelezo na ufanisi vitakufanya uchukue uamuzi sahahihi. Thibitisha maelezo haya Mahakamani au kupitia Chama cha wanasheria Tanzania (TLS) au hata Kituo cha Msaada wa Sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Muulize pia ameshinda kesi zipi ngumu na hata kesi zipi alizoshindwa na kwa sababu gani. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Muulize sheria inayotawala tatizo lako ikoje na una nafasi gani (katika hili mueleze wazi kuwa unataka ukweli mtupu na si kupewa moyo au kukufanya uonekanae una nafasi finyu ili akukamuae zaidi kifedha). [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Ni jambo la busara ukaiona maktaba yake. Mwanasheria mzuri ni yule anayesoma kila siku. Muulize kama anajua kutumia kompyuta na inamnufaisha vipi kisheria (hili unaweza kumuuliza kama utani lakini ni la muhimu kwa sababu sheria inahusu utafiti wa ndani na nje ya nchi na utaalamu wa amabo kama kompyuta inaweza kukupa picha namna gani anaenda na wakati katika utendaji wa kazi zake). [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mweleze akupe mchanganuo wa gharama zake ili uelewe kama unalipa zaidi ya kiwango. Mara nyingi upewapo gharama ya jumla inaweza kuhusisha na vitu ambavyo hvipo katika mchanganuo wa gharama.

Jaribu kuwa Mhasibu kwa fedha zako mwenyewe.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Yapo mambomengine pia yanayoweza kuleta tofauti. Wakili mzuri ni yule anayejua lugha kimaandishi na kuiongeza kiufasaha. Unapoongea naye ling’aume mwenyewe hili. Mfano wa nafasi ya lugha katika sheria ni kesi moja ambapo Mwalimu Nyerere aliamuru raia wa Tanzania aondolewe Tanzania Bara na kuhamishiwa Zanzibar miaka ya 1980 ambapo Wakili wake kwa kutumia utaalam wa tafsiri za lugha kisheria aliweza kumtoa gerezani na kumshindisha mteja wake baada ya kuionyesha mahakama neno moja tu la Kiingereza, [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]‘Territory” [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]lilikuwa na maana gani chini ya Sheria ya Uondoaji watu ya

Tanganyika ([/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Deportation Ordinance).[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mwanasheria mzuri ni vema aijue pia historia na sisaya ya nchi kwa sababu sheria huzaliwa kutokana na maendeleo ya kihistoria na kisiasa na aghalabu mahakama huyaangalia mambo haya katika kuangalia mathalani chimbuko la sheria fulani wakati zikifanyiwa tafsiri.[/FONT]

CHANZO: THE GUARDIAN
 
[FONT=ArialMT, sans-serif]Katika toleo lilolopita mwandishi wa makala hii aliandika juu ya hatari ya kupata hasara kwenye kesi ya madai iwapo mwenye kesi husika asipokuwa makini katika kumchngua wakili ambaye ni mweledi katika eneo hilo. Mwandishi leo anaendelea kuelezea mambo ya kuzingatia mhusika anapotaka kufanya hivyo [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Ugumu mmoja mkubwa unaokuja katika kumtafuta wakili. Mawakili hawaruhusiwi kujitangaza kuhusu huduma zao kibiashara kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili ya Tanzania. Japo nia katika hili ni njema, hili limeleta ugumu kwa sababu kwa mtu asiyejua chochote kuhusu wapi ampatae wakili anategemea tu kumpata kwa kumbahatisha yeyote aliyeko karibu naye au kwa hisia tu (kama mavazi, umri, jinsi, jengo anamofanyia kazi au umbo) au kuelezwa na mtu mwingine kwamba Wakili fulani ni mzuri. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Ukweli ni kuwa mambo haya hayana mantiki sana, japo kuna nyakati yanakuwa sahihi. Na izingatiwe kuwa wapo Mawakili wajulikanao kama [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Ambulance Chasers[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif] kwa tamaa za kifedha ambao huwafukuzia wateja, japo maadili ya sheria hayaruhusu.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Kwa sababu si rahisi kufanya [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]shopping[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif] ya wakili kama unavyoweza kujua nyanya fulani zina ubora gani au unafuu gani kibei kwa kuzungukia soko hadi soko, yapo mambo kadhaa unaweza kuyazingatia ili kuongeza nafasi kwamba wakili unayempata hatakupotosha au kukupoteza katika kesi yako. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]La kwanza ni kujipa moyo kuwa mawakili wote nchini wako katika kiwango kinachokulubalika kwa sababu wamepatiwa mafunzo maalum, wakafanya mitihanmi, wakasailiwa na kufaulu na bado wanadhibitiwa kwa kuhakikiwa katika utaalam na maadili mara kwa mara. Hili ni muhimu kwa sababu kushinda kesi huanza na kuwepo kwa amani moyoni na imani kwamba uamuzi unaouchukua katika kumtumia Wakili ni sahihi. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Hata hivyo, hili lisikuhadae sana, kwa sababu wapo Mawakili wanaitwa [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]sleeping lawyers[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif] (Wanasheria wanaolala) ambao wamewakosesha wateja wao haki kwa kushindwa kufanya kazi kwa akili na kujituma kwa nguvu, bidii na umakini mkubwa. Katika nchi kama Marekani mamia ya watu hufanikiwa kuzibatilisha hukumu za kesi zao kwa kuonyesha namna Wakili fulani ambavyo hakukidhi kiwango kinachokubalika katika uendesha wa kesi .[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Lugha hii hujulikana kama [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Ineffective Representation.[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif](Uwakilishi usiokidhi). Hata hapa Tanzania wapo mawakili wa aina hiyo , na hata kuna nyakati Majaji wa Mahakamz Kuu, Mahakama za Rufaa na Maprofesa wa Sheria wamekemea kuhusu hili.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Ukishalijua hili waweza kufanya mambo yafuatayo sasa: Mosi, mueleze Wakili akufafanulie uhusianao ulipo baina yake na wewe kisheria na mjitahidi kuweka katika maandishi kila jambo muhimu (si kila jambo, ila kila jambo muhimu) kuhusiana na kesi hiyo, hasa linapokuja suala la kesi yenyewe na gharama za kesi. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Wakili mzuri ni yule anayefuata maadili ya kazi, kuwa huru kumuuliza kama amepata kuadhibiwa au kuonywa kwa utovu na chombo inachosimamia utendaji wake wa kazi kama mahakama, na kadhalika. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Bado anaweza kuwa wakili mzuri lakini maelezo na ufanisi vitakufanya uchukue uamuzi sahahihi. Thibitisha maelezo haya Mahakamani au kupitia Chama cha wanasheria Tanzania (TLS) au hata Kituo cha Msaada wa Sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Muulize pia ameshinda kesi zipi ngumu na hata kesi zipi alizoshindwa na kwa sababu gani. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Muulize sheria inayotawala tatizo lako ikoje na una nafasi gani (katika hili mueleze wazi kuwa unataka ukweli mtupu na si kupewa moyo au kukufanya uonekanae una nafasi finyu ili akukamuae zaidi kifedha). [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
Ni jambo la busara ukaiona maktaba yake. Mwanasheria mzuri ni yule anayesoma kila siku. Muulize kama anajua kutumia kompyuta na inamnufaisha vipi kisheria (hili unaweza kumuuliza kama utani lakini ni la muhimu kwa sababu sheria inahusu utafiti wa ndani na nje ya nchi na utaalamu wa amabo kama kompyuta inaweza kukupa picha namna gani anaenda na wakati katika utendaji wa kazi zake). [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mweleze akupe mchanganuo wa gharama zake ili uelewe kama unalipa zaidi ya kiwango. Mara nyingi upewapo gharama ya jumla inaweza kuhusisha na vitu ambavyo hvipo katika mchanganuo wa gharama.

Jaribu kuwa Mhasibu kwa fedha zako mwenyewe.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Yapo mambomengine pia yanayoweza kuleta tofauti. Wakili mzuri ni yule anayejua lugha kimaandishi na kuiongeza kiufasaha. Unapoongea naye ling'aume mwenyewe hili. Mfano wa nafasi ya lugha katika sheria ni kesi moja ambapo Mwalimu Nyerere aliamuru raia wa Tanzania aondolewe Tanzania Bara na kuhamishiwa Zanzibar miaka ya 1980 ambapo Wakili wake kwa kutumia utaalam wa tafsiri za lugha kisheria aliweza kumtoa gerezani na kumshindisha mteja wake baada ya kuionyesha mahakama neno moja tu la Kiingereza, [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]‘Territory" [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]lilikuwa na maana gani chini ya Sheria ya Uondoaji watu ya

Tanganyika ([/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Deportation Ordinance).[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mwanasheria mzuri ni vema aijue pia historia na sisaya ya nchi kwa sababu sheria huzaliwa kutokana na maendeleo ya kihistoria na kisiasa na aghalabu mahakama huyaangalia mambo haya katika kuangalia mathalani chimbuko la sheria fulani wakati zikifanyiwa tafsiri.[/FONT]
Please, Is there a possibility of getting part 1 of this article, please? I really need it...!!:eyeroll2:
 
Wakili ukimhoji mambo ya Maktaba, kesi alizoshinda, kama anajua kompyuta, etc atakuwa na hamu ya kuendelea na kesi yako?
 
kwa kweli ukimwoji kwa staili hii sizani kama atakuendeshea kesi yako
 
Back
Top Bottom