Mambo ya kuzingatia unapokutana na nyoka

1. Ikiwa umemkuta tu sehemu kapozi.Usimtizame usoni.nyoka wengi hawapendi kutizamwa usoni.wanapatwa na hasira.

2. Ikiwa mnakabiliana uso kwa uso mwangalie kwa makini hasa kobra,koboko au kifutu.mwangalie machoni ili uone anakuangalia sehemu gani akugonge.ukiona anakuangalia begani ujue ndo analenga sehemu hiyo. Epa.

3. Usimkimbie nyoka...mtizame kwa macho makali bila woga.hapo atajua upo serious...atashusha hasira zake na kianza kuondoka.

4. Kama unakutana na nyoka njiani mwache apite zake.kila mtu awahi mishe mishe zake.huwa hawapendi kukatishwa safari zao.

5. Ukikuta nyoka anacheza na mtoto mwache we endelea na issues zako.ukijifanya kumkatisha atakumind kuwa umemwona yeye hajui kuwa huyo ni mtoto hivyo atakuonesha kuwa sasa ngoja afanye ulichowaza.atamgonga.
km mazingira yk yana nyoka sana dawa yao ni ndogo sana mwagia oil chafu kuzunguka hilo eneo au km ni ndani ya nyumba mwaga mafuta ya taa kwenye kingo za kuta km ni majumba mabovu choma mpira hapo nyoka atakuomba msamaha bila kupenda.. pia siafu na sisimizi ni adui za nyoka hawapatani hata kidogo nyoka akiwapwagaa huwa anapata mkong'oto wa nguvu.
 
Je wajua kuwa uwezo wa nyoka kuona ni 5% tu. yaani kwa lugha rahisi naweza kusema kuwa nyoka
hawana macho ila wana hisia kali sana na yale tunayoyaona kuwa ni macho ni kama pambo tu je unakubaliana na wenye hoja hii? Mimi nakubaliana nao kwa sababu zangu ninazojua.
Sababu zang ni kama ifuatavyo.
1.nyoka hata akilala hawezi kufumba macho.
2.nyoka hata wakati wa mvua hawezi kukwepesha macho. Mfano mzuri ni kenge au mambo umewahi kujiuliza ni kwanini mamba na kenge wakiwa nchi kavu mvua ikianza kunyesha tu wanakimbilia majini? Ni kwasababu wanakwepesha macho yao na mvua maana macho yao yamekaa sehemu mbaya kama mwenzao nyoka. Ila nyoka yeye wala hana habari.
3. Nyoka hana kope. Hvyo ni kweli macho yake hayafanyi kazi.
4. Ana uwezo mkubwa wa kuhisi umbo la kitu kuliko sifa za hicho kitu.
5.anauwezo wa kuhisi kishindo cha kitu mf. Sehemu tulivu kabisa jani likidondoka umbali wa mita 100 anauwezo wa kusikia hicho kishindo.
ILA hivo vitu vilivyo kama macho yale yanauwezo wa kumuonesha umbo la kitu ila sio uhalisia wa kitu.
Ni kweli kabisa
 
Nijuavyo mimi Wanyama wengi hawana tabia rasmi, ni baadhi ya tabia tu hujirudia rudia lakini tabia yao kuu ni kubaki kama Mnyama na kufanya unyama.

Mimi ni miongoni wale waliokuwa wameaminishwa kwamba si rahisi Nyoka akuvamie bila ya sababu, lakini nimeshakutana na matukio kadhaa Nyoka anatoka alipotoka na kumgonga au kujaribu kumgonga Mtu...huenda ikawa labda Nyoka huyo ameghafirishwa huko atokako nadipo akakutana na wewe akakuvamia, lakini sasa utajuaje na yeye hasemi?
Mara nyingi nyoka mwenye tabia hizi ni koboko/black mamba ndio huwa wanaattack bila kuchokozwa au anaweza akachokozwa huko alipotoka akaja kumuuma mtu mwengine.
 
Hebu soma ulichoandika kwanza kwa umakini. Halafu andika tena.ili pia tuijue hiyo pingili ni ipi.pia ya mkono gani hasa

Chizi maarifa story hizo unachotakiwa kufanya ukimuona nyoka jishike kwenye pingili ya mkono wa kulia yaani mkono wakushoto bana hapo kwenye juu mkono wako ukishabana haendi popote pale huyo nyoka watan wangu wa jadi washajua kitu gani kitakochomfanya asione njia nakukaa hapohapo alipo
 
1. Ikiwa umemkuta tu sehemu kapozi.Usimtizame usoni.nyoka wengi hawapendi kutizamwa usoni.wanapatwa na hasira.

2. Ikiwa mnakabiliana uso kwa uso mwangalie kwa makini hasa kobra,koboko au kifutu.mwangalie machoni ili uone anakuangalia sehemu gani akugonge.ukiona anakuangalia begani ujue ndo analenga sehemu hiyo. Epa.

3. Usimkimbie nyoka...mtizame kwa macho makali bila woga.hapo atajua upo serious...atashusha hasira zake na kianza kuondoka.

4. Kama unakutana na nyoka njiani mwache apite zake.kila mtu awahi mishe mishe zake.huwa hawapendi kukatishwa safari zao.

5. Ukikuta nyoka anacheza na mtoto mwache we endelea na issues zako.ukijifanya kumkatisha atakumind kuwa umemwona yeye hajui kuwa huyo ni mtoto hivyo atakuonesha kuwa sasa ngoja afanye ulichowaza.atamgonga.
Ana wowowo nimtazame?
 
Hebu soma ulichoandika kwanza kwa umakini. Halafu andika tena.ili pia tuijue hiyo pingili ni ipi.pia ya mkono gani hasa
images+%281%29.jpeg

Shika kama hivo kama hujaelewa
 
Maana kuna mwendawazimu mmoja ashawahi mwambie mtu akikutana na nyoka aaingize kidole gumba cha mkono wa kulia sehemu ya haja kubwa. Eti hapo nyoka anageuza na kurudi alikotoka.
 
Maana kuna mwendawazimu mmoja ashawahi mwambie mtu akikutana na nyoka aaingize kidole gumba cha mkono wa kulia sehemu ya haja kubwa. Eti hapo nyoka anageuza na kurudi alikotoka.
Duuu aaaah hiyo Kali sasa man nilishawahi thubutu kufanya hivo aliingia nyoka kwa nyumba jikoni nilimwambia house girl ashike mkono wakati naenda kuchukua silaha ya kumshambulia hakwenda kokote nikarudi nasilaha nikammaliza

Tukio la pili tulikuwa kwa site na ujenzi akatokea nyoka wa kijani baasa yamafundi kumuona wakaanza kurusha mawe akawa anawafata katika Hali ya hatari nikashika mkono kama hivo akasimama huku kaeka shingo juu nikaachia akasepa zake.
 
Hebu soma ulichoandika kwanza kwa umakini. Halafu andika tena.ili pia tuijue hiyo pingili ni ipi.pia ya mkono gani hasa
View attachment 1260751

Shika kama hivo kama hujaelewa
Hii nimeshawahi kukutana nayo siku moja nyumbani wife aliona nyoka akashika kama hivyo huku ananiita nikaenda mbio mbio nikamuuwa ila baada ya kuwa nimeshamalizana naye wife akataka points achukue yeye madai yake aliposhika mkono nyoka alizubaa me nikapata nafasi ya kummudu but nilikataa.

Mkuu Sirdirashy ni science gani inayotumika kwenye situation kama hii?imenishangaza sana kukutana nayo humu.
 
We jamaa kweli ni chizi.

Yani kweli mimwone snake na mwanangu alafu nimwache tu niwe na amani,hiyo haipo mr chizi,atakula kichapo tu
Mkuu sio imani ni sawa kabisa huwa hana shida na mtoto mkimvuruga anaweza tembeza venom kwa wote ..na ujisoma bandiko la huyu mkuu point ya msingi ni #5 tu huko kwingine anafurahisha genge.
 
Hii nimeshawahi kukutana nayo siku moja nyumbani wife aliona nyoka akashika kama hivyo huku ananiita nikaenda mbio mbio nikamuuwa ila baada ya kuwa nimeshamalizana naye wife akataka points achukue yeye madai yake aliposhika mkono nyoka alizubaa me nikapata nafasi ya kummudu but nilikataa.

Mkuu Sirdirashy ni science gani inayotumika kwenye situation kama hii?imenishangaza sana kukutana nayo humu.
Science ya tamaduni ndugu nyoka wanahusishwa na uswahili kwahiyo inasemekana ukishika mkono hivo kuna connection unakuwa umemfungia njia haendi popote na wala hatoweza dhuru
 
Wee nawe unatuchanganya. Mara usimwangalie usoni Mara umkazie macho. Tusichoshane. Dawa ya nyoka ni kutoka nduki tu. Yeye mwenyewe atabaki anashangaa
Dah...hawajui nyoka huyu. Cha msingi lazima ujue Kama Ni Ni nyoka mwenye sumu au la...na anatema mate? Kuna nyoka wengine Ni rafiki was binadamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom