Mambo ya kuzingatia kwa wanaume wenye umri chini ya miaka 45

Hii nimeipenda mno, kitu pekee ambacho sina hapo ni namba 1. Miaka inavyo kwenda na imani yangu inafifia, mambo ya Mungu haya make sense kabisa kwangu siku hizi. Nikikumbuka nilipokua kijana nilikua nakwenda kuhubiri injili masokoni na mashuleni, the more I studied the bible, the less it made sense
Kilitokea nini mkuu mpk kuacha huduma nzuri uliyokuwa nayo?
 
naunga mkono hoja kwa 100%
but pia kuwa mjuvu wa mambo mengi,usipitwe tu kizwazwa,ukipata chance uwe unasomasoma vitu tofauti tofauti,bila kusahau kupitapita JF kuzoa naujuzi kama haya ya bure tu,bravo mtoa mada.
 
Aaaassh mkuu umesahau moja hii nazani ingekaa no 2 jifunze ukakamavu kitandani mana ukiwa mvivu kitandani ni lazima utachapiwa na utaishia kulalamika tu pia kwa umri ni lazima kumuomba mungu uwe umeshaweza kuhama nyumabani kwenu na kwenda kujitegemea
Mkuu, kwani aliposema linda afya yako wewe hukuelewa?
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom