Mambo ya kuzingatia kwa unayesafiri saa 12:00 Asubuhi na basi la mkoani

Sote tunajua mabasi mengi ya mikoani hutoka stendi saa 12:00 au 12:30 asuuhi kila siku.

Nimeamua kuweka wazi mambo muhimu ya msingi kwa wewe msafiri.

1. Kama wewe ni mtumiaji wa pombe, usilewe zaidi ya saa 6 usiku. Itakusaidia usitapike safarini na kuchelewa usafiri


2. Ukistuka usingizini saa 9 au 10 alfajiri, usilale ama kujiegesha, utachelewa usafiri


3. Usichukue hawala


4. Usile wali, pilau au mamichuzi kabla ya safari. Hutatapika

5. Jitahidi kuweka alarm saa 1 kabla


6. Usioge asubuhi. Hautatapika

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Yaani nisinywe bia kisa safari,
 
Back
Top Bottom